It's messi again!!!the football genius!

It's messi again!!!the football genius!

jamessungo

Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
71
Reaction score
29
Kama kawaida undisputed messi the genius kaonyesha he's the great footballer the world has ever witness!! Kiukwel dogo anajua na hana mpinzan ktk sayari hii!...cr7 wenu atasubr sana kwa huyu mtoto!..chezea ''MESSIAH'' wewe!!..
 
Nadhani FIFA wangemwonea huruma C.Ronaldo...lakini Mess anastahahili.!
 
Kwa wale kasuku wa EPL hii inakaa vipi?
FC Barcelona mara 10, AC Milani mara 8, Juventus mara 8, Real Madrid mara 6 na FC Bayern Munchen mara 5. Hii ni TOP RANKING ya FIFA BALLON D'OR.
Jamaa ukiwaeleza EPL haina kitu ila kelele tuu wananuna!
 
EPL wanaweza mambo ya La Loga?? Chezea la liga veve!!!
 
Tuwe wakwel 2 la liga is da best league for now thn messi ni bora sana zaid ya cr7

Wewe umeongea point ya maana, La Liga is the best league, na ukitaka kujua, angalia timu zote za La Liga zilizoingia 16 bora kule Champion League, ile ligi ile ni habari nyingine pia!
 
Messi will be a true legend of the game once he wins the world cup...
 
Messi will be a true legend of the game once he wins the world cup...

Huo ni mtizamo wako na PELE: kwa hiyo George best,Eusebio,Luis Figo,Yohan Cyruff,van Basten,Paolo Maldini,Baggio,George Weah,Ruud guilt,Paul gascoine,Ginola,Eric Cantona,Michel Platini,batistuta,salas na wengine wengi sio TRUE LEGENDS kisa hawajashinda worldcup?

Nani hakujui kama shabiki wa Cr7?
 
Tuwe wakwel 2 la liga is da best league for now thn messi ni bora sana zaid ya cr7

mkuu unashangaza sana unawezaje kusema laliga is the best league wakati ni ligi ambayo haina ushindani timu ya kwanza inaongoza ligi kwa pointi 18 na ni ushindani wa barca na madrid kila mwaka na bado unasema ni ligi bora. tazama ligi ya epl na bindersliga na serie a ni timu ngapi zinapiginia kikombe then ulinganishe na laliga
 
Back
Top Bottom