It's me, Rose

unasema hivo sababu hmjui mtoa mada...pia picha ni yeye halisi na huku uraiani tunamjua ni nani ila tumeamua tu kukaa kimya.

endelea kumuentertain!
siku njema
ooops!!! seriously nilijua tu kaamua kutuchezea akili kwa pic fake kumbe ni yeye original na ana mambo kedekede, lol

Basi sawa, ngoja nikae kimya tu.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Acha roho mbaya,huwez kuninyima kwa style hii!
 
unasema hivo sababu hmjui mtoa mada...pia picha ni yeye halisi na huku uraiani tunamjua ni nani ila tumeamua tu kukaa kimya.

endelea kumuentertain!
siku njema

Kama ni picha yake halisi basi anafahamu anachokifanya acha ajivinjari tu
 
naona yuko busy now..anaparamia miti kwa raha zake na kuongeza sifuri
namwacha ajivinjari

Maisha ni kuchagua yeye kama kaamua aishi hivyo basi na acha tu aishi apendavyo
 
Sasa goti linahusiana na nini...?utakuwa wa kwanza duniani kuchagua demu eti "ana magoti bomba"...ha ha ha..wengi tunaangalia sura na makalio tu basiiiiiπŸ™‚
Huo utafiti uliufanyia wapi mpaka kufikia conclusion kua nitakua mtu wa kwanza duniani? au bado hujaamka vizuri?
 
Huo utafiti uliufanyia wapi mpaka kufikia conclusion kua nitakua mtu wa kwanza duniani? au bado hujaamka vizuri?
...Kuamka kitambo sana najifikiria kurudi kulala tena....kwa hio ni kweli kuwa unavutiwa na magoti....?sasa najiuliza hawa wavaa suruwali,wavaa madera....unapata tabu sana kuona magoti.Wacha mi nibaki na hivyo vya enzi na enzi
 
πŸ˜€πŸ˜€ Sawa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…