Aww thank youu๐๐Happy Birthday Seran. You are very special and we love you ๐ท๐ท๐ท๐ท๐
View attachment 3525454
kusherehekea bdei ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana ๐Sidanganyagi umri mimi๐ nipo zangu 3rd floor
Ya kwako lini na wewe?Birthday Blessings Kipenzi, Mungu awe pamoja nawe & akupe raha kila siku. Team Jan, mambo ni yale yale keki una replace na kabichi.
Tarehe 26 hukoooYa kwako lini na wewe?
Hahahaha mbona kabichi mboga nzuri sanaTarehe 26 hukooo
Mtakuwa mmemaliza kulipa ada, hamtaleta makabichi
Likipata mpishi mzuri kama Seran ๐Hahahaha mbona kabichi mboga nzuri sana
Thanks shawty ๐ฅฐ, amen amen ๐๐ฝ yani hapa nmeambulia kawimbo ka asubhi apa kitandani basi mchana kabeji siku imeishaa๐คฃ๐Birthday Blessings Kipenzi, Mungu awe pamoja nawe & akupe raha kila siku. Team Jan, mambo ni yale yale keki una replace na kabichi.
Mhmm huyo makoloni mengi , Mimi simuwezi๐๐๐Likipata mpishi mzuri kama Seran ๐
๐ Hutakiwi kukata tamaa,, mpe mavituz mpaka ahame huko alikoMhmm huyo mabwana wengi , Mimi simuwezi๐๐๐
Hahaha Sio kweli mda mchache mambo mengi๐ Hutakiwi kukata tamaa,, mpe mavituz mpaka ahame huko aliko