It’s important to have a balanced diet

It’s important to have a balanced diet

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1576071230946.jpeg
 
Wazee hawakula zege wala kyepe hawakunywa soda wazee walikua wakifanya kaz ngumu kuliko sisi na ofiso zetu na computers zetu wazee hawakutumia mafuta ya kupikia haya tunayotumia sisi kwahyo angalia unachokula
kwangu sio Important nakula tu iliniishi alafu hizi formula mbona wazee wetu hawakuwa nazo na waliishi muda mrefu tu sijui tatizo linatokea wapi kizazi chetu hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mswele,
Pia wakati wa msimu wa machungwa, jioni mnakaa babu anawamenyea machungwa, mahindi ya kuchoma hivyo hivyo. Usisahau mafenesi, maembe na madafu
 
Back
Top Bottom