Its an extremely nice day for our beiby boy...Happy birthday DIKEMBE

Queen Horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
414
Reaction score
317
Ladies and gentlemen kama tunavyojua kila mwanaadam lazma apitie siku mbili za muhim maishani mwake ambazo ni kuzaliwa na kufa
Leo napenda kumshukuru mungu kwa kuendelea kumpa pumzi na afya tele ndugu yetu,kaka yetu, rafiki yetu Mr.DIKEMBE kwa kutimiza mwaka wake mwingine mpya toka kuzaliwa kwake. Tunaomba mungu azidi kukubariki na kuendelea kukupa kukupa afya njema ili uendelee kuwa nasi leo, kesho na siku nyinginezo inshaalah..
 
Nashukuru sana kwa kukumbuka na kuthamini uwepo wangu hapa duniani. Mungu awabariki wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom