Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304

Miitumwa mpende arsenal? Mnadhan bila haya wenga angesajili?

Usiwe kama ndo umeujua mpira leo,naomba nitajie miamba inayotawala kwa utandazaji wa soka duniani kwa sasa katika ngazi ya club then i will be back to tell you kwamba aliyeanguka ndiye anaenyanyuka!

kaka 2po pamoja! Wana G8 hawana raha kabisa! Ha,ha haaaaa!!!

kwa sasa ni barcelona ambaye amempokea madrid aliyetawala 2000 mwanzon. Nyie mnajiita miamba wakat hamjawah chukua kombe kwa miaka 6. Afadhal na liverpool na mancity ambao wamewah chukua makombe recently kuliko arsenal mnaojisifia kucheza mpira usiokuwa na manufaa.
Duh!! Huyo Arsenal ulimuoa lini?Naomba nisichangie mke wangu ni Arsenal.

Duh!! Huyo Arsenal ulimuoa lini?