Naunga mkono hoja, CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni Chama Dola, and in fact CCM ni Dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.
Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.
Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.
Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
We Mzee vipi kweni dola haziporomoki?!!Naunga mkono hoja, CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni Chama Dola, and in fact CCM ni Dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
wewe ni mpumbavu sana sanaKwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.
Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.
Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.
Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Nakuombea sana Sir,Naunga mkono hoja, CCM sio tuu ni chama cha siasa, CCM ni Chama Dola, and in fact CCM ni Dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Kwanini isiwe mwaka huu na huku mnakubalika?vuta subra ndugu, 2026 mchakato unaanza tunapata katiba mpya..
Hilo wala halihitaji mjadala!Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.
Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.
Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.
Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Bandari zetu hazitauzwa, kukodishwa, Wala kubinafsishwa Kwa wageni.Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.
Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.
Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.
Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
wanaamanaji haramu, wezi na waporaji wa vibanda na maduka ya wananchi hawana nafasi ya kuvuruga Amani na utulivu wa Nchi kwa namna yeyote ile...Bandari zetu hazitauzwa, kukodishwa, Wala kubinafsishwa Kwa wageni.
Maandamano Yako pale pale.
Nchi ipo kwenye maandalizi Muhimu sana matatu kwa sasa,Kwanini isiwe mwaka huu na huku mnakubalika?
Amen, Amen, mimi ni mtumishi wa watu on my own merits, sihitaji uteuzi wowote, and soon hizi makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zitaibukia kwenye mainstream media.Nakuombea sana Sir,
Baraka na Neema za Mungu ziandamane nawe, matokeo ya ustahimilivu wako ukawe Nuru ya matumaini hapo mbeleni....
Kwa maoni yangu, kwa namna fulani unahitajika mahali fulani katika katika chama au serikali ktk kulisukuma gurudumu la Maendeleo nchini....
and for sure the publics expect to see you there soon...