ITOKEJE...customized/personalized plate namba

Mkuu hata hapa kwetu nadhani ipo, kuna siku nishawahi kuona gari yenye maandishi "MUGANYIZI 1"

Hata mimi nilishaona MZIRAY so iki kitu kilikuwepo labda wameona demand ni kubwa.
 
ndoto za mchana, watu hata magari hamna mshaanza kufikiria plate namba.. ngoja nipite mie
 
Yangu itakuwa Gee Cee for Life... kwenye kibajaji changu Kwenye kibodaboda itakuwa Gee Cee still Untouchable.... Na kwenye kitaxi changu itakuwa Gee Cee can't stop loving You....! Milioni 5 kwa miaka mitano sio INSHU!
 
hamna kitu

au nitabandika daftari la mistari midogo na mikubwa au lile la vibox
 
waziri wa Fedha karuhusu CUSTOMIZED /PERSONIZED PLATE NUMBER a.k.a plate namba ya utakavyo Naamini karibuni tutayaona magari yenye plate namba za RUTASHOBYA 01, RUTATORA 01,RUGAMALILA 01, MALARIA SUGU 1, note:Starlet yangu itatoka kwa JF MARYTINA or CDM 2015 SENGEREMA GARI YAKO UNATAKA ITOKEJE????? .......TZ 2015 CDM be reserved for Dr.Slaa
Kibajaji changu.... Gee Cee can't stop loving You! Kibodaboda...... Gee Cee still UNTOCHABLE! Kitaxi................. Gee Cee for LIFE! Waungwana mmeipenda ipi kati ya hizo?
 
Back
Top Bottom