Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 918
- 1,099
Hii itakuwa safi, maana tumechoka.
Na Samiah ilikuwajeNgoja nikusaidie kucomment kwenye huu uzi usio na comments.
Ni hivi makamu wa rais hana mamlaka yoyote kwenye serikali. Hana uwezo wa kutoa maelekezo kwa yeyote isipokuwa wizara ya muungano. Kwa hiyo atakuwa ceremonial leader tu. Labda atapata salute tu za askari(sina uhakika).
Alikuwa anamuamlisha nani?Na Samiah ilikuwaje
Mbona now raisAlikuwa anamuamlisha nani?