Itikadi za Kisiasa Zavuruga Serikali ya Wanafunzi UDOM

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Vuguvugu: "kutaka kuwang'oa mawaziri wa serikali ya wanafunzi wanaoaminika kuwa ni wana-CCM.

Waziri mkuu ni CCM. Rais ni Chadema. Patamu!

Rais alishamlima barua PM ya kumsimamisha kazi.

Kisa? Alifanya mambo ya JMS. Kuhudhiria sherehe za kuwapongeza wabunge vijana wa CCM.
Mvutano ukaanza.

My Take:
Kumbe Chadema tupo mpaka UDOM. CCM itabidi wajenge Chuo kingine na watafute wanafunzi kwa mtindo wa kuomba kadi ya chama ya mzazi.

Kweli CCM wameshikwa pabaya. Ndiyo sababu JK alitoa onyo ati wanafunzi wasijihusishe na siasa. Kumbe UDOM kuna Chadema? Safi sana!

Komaeni watoto wa wakulima.

Nchi hii hakuna chuo cha CCM. Chuo chochote ni cha Tanzania. Wakileta zao waonesheni rangi zenu bila haya.

Source: Majira
 
Wapo wengi sana wa chadema pale udom ila sauti zao hazisikiki sana.
 
Back
Top Bottom