Itende Secondary School: Fursa za masomo Sekondari, 2015

Itende Secondary School: Fursa za masomo Sekondari, 2015

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Shule inatangaza fursa za masomo ya Sekondari;


  • Kidato cha kwanza (1) 2015
  • Kidato cha tano (5)- michepuo; hge / hgk / hgl / hkl
  • Kuhamia kidato cha 2,3 na 4.
  • Shule ipo mbeya mjini, pembezoni (nyuma ya itende jkt)
  • Ni shule ya kutwa (day) na hosteli
  • Wavulana na wasichana
  • Maabara na maktaba
  • Mazingira tulivu ya kishule
  • Shule ni kituo cha watahiniwa binafsi (pc na qt)
  • Shule inafungua tarehe 5/1/2015
  • Fomu zinatolewa kwa Shilingi 10,000 shuleni au kama uko mbali basi tutakutumia kwa email ukishalipia.

    Wasiliana kwa no: 0759357210
 
Bro kapiga hapo cha six katoka na division moja kaliii sanaaaa sahizi yupo DUCE mpo vizuriii kwa advnce cjui olvel ila nina bro ali reset hapo akatoka na credit zote safii
 
SHULE INATANGAZA FURSA ZA MASOMO YA SEKONDARI;

  • KIDATO CHA KWANZA (1) 2015
  • KIDATO CHA TANO (5)- MICHEPUO; HGE/HGK/HGL/HKL
  • KUHAMIA KIDATO CHA 2,3 NA 4.
  • SHULE IPO MBEYA MJINI, PEMBEZONI (NYUMA YA ITENDE JKT)
  • NI SHULE YA KUTWA (DAY) NA HOSTELI
  • WAVULANA NA WASICHANA
  • MAABARA NA MAKTABA
  • MAZINGIRA TULIVU YA KISHULE
  • SHULE NI KITUO CHA WATAHINIWA BINAFSI (PC NA QT)
  • SHULE INAFUNGUA TAREHE 5/1/2015
  • FOMU ZINATOLEWA KWA SH 10,000-SHULENI AU KAMA UKO MBALI BASI TUTAKUTUMIA KWA EMAIL UKISHALIPIA.
  • WASILIANA KWA NO 0759357210
  • KWA TAARIFA NYINGI ZA SHULE TEMBELEA:
ITENDE HIGH SCHOOL


mtamsaidiaje huyu mdogo angu aliye risit mwaka jana na kupata B ya kisw, C ya Eng pamoja na D tatu za Geog, hstr na Civics kuhusu kusoma advanc kwa matokeo hayo?
 
mtamsaidiaje huyu mdogo angu aliye risit mwaka jana na kupata b ya kisw, c ya eng pamoja na d tatu za geog, hstr na civics kuhusu kusoma advanc kwa matokeo hayo?

ili asome advanced bila kuresit ni lazima awe na atleast credit 3. (mf. Bbb). Alternatively ajiunge january, ila atasaidiwa akiwa form 5, mwaka huo pia arudie mtihani apate credit zingine 2. (kwa program za hapa, atafanikiwa tu) kisha baada ya matokeo, julai 2016 ataendelea na form six na kujisajiri necta kama form 6 pc hapahapa shuleni. Wengi wamefanya hivyo na wametoka vizuri.
 
bro kapiga hapo cha six katoka na division moja kaliii sanaaaa sahizi yupo duce mpo vizuriii kwa advnce cjui olvel ila nina bro ali reset hapo akatoka na credit zote safii

kweli, na tumeimarisha zaidi advanced, yeyote atakayesoma hapa tunamhakikishia kufanikiwa, labda asiwe amejipanga! Kwa o level pia juhudi zinaendelea kuboresha.
 
Nimesikia sifa zenu kutoka kwa baadhi ya waliowahi ku reseat hapo kwenu form four. Nina mdogowangu nilitaka arudie hapo kuanzia kidato cha tatu boarding ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu alishindwa kuchukua form mapema. Kwasasa inawezekana na aje mwezi huu/wiki hii? Maana sipendi apoteze mwaka huu. Alipata zero kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom