mi nmevutiwa na itel vision wazee zote mbili 1505 na 1550. Nafikiria niinunue nikirudi mjini bongo, ingawa nimezishika ni nyepesi kama karatasi ila nmepata kuiperuzi vizuri 1505 moja ya jamaa yangu. Inatunza sana charge, ni nyepesi ku load apps na GUI yake imenivutia mno, ni lollipop ilioko customized karibia ifanane kabisa na mashmallow. Kinachonitatiza ni sijapata kujua mapungufu ya hizi simu
Chief-Mkwawa hebu nimegee kipande hicho kama unacho mkuu.