Itazame safu ya bodi na menejimenti ya ACACIA Mining Tanzania kisha utaelewa tatizo liko wapi

FAKE NEWS

Member
Feb 16, 2017
59
160
Hoja yangu inajikita zaidi kwenye eneo la LOCAL CONTENT & PARTICIPATION BILL na ACT ambayo inatayarishwa

Manzoni hili jambo lilikuwa linahusu makampuni ya OIL AND GAS pekee lakini mheshimiwa Rais alisema anataka haya mambo ya uweszeshaji wa Tanzania liwe kwenye kila sekta kwenye hii nchi.

Sasa haya makampuni kama ACACIA wanaweza kuleta uhuni wa kujaza watanzania kwenye kufanya kazi za kusafisha vyoo na kazi za hali ya chini ili ku meet hiyo quota ya kuajiri wa Tanzania lakini kwenye bodi na management wako wao na token locals kama inayoonyesha hapo chini.

Haikatazwi haya makampuni kuja lakini lazima sheria iseme wazi kuwa unaweza kuja na management yako lakini no 2 lazima awe mTanzania ili baada ya miezi 6 hao wagon waondoke.

Bodi yao ina mtanzania mmoja tuu anaitwa balozi Juma Mwapachu

Tazama hapa chini:

Board of Directors
ambassador-juma.jpg

JUMA MWAPACHU

Huyu naona ndio kiungo chao Tanzania na mambo ya Government relations etc. Sijajua ana shares ngapi hapo Accacia (hakuna dhambi kwa Mtz kuwa shareholder) lakini inawezekana vipi hii kampuni iwe isha operate Tanzania kwa zaidi ya miaka 2 owe imejaa wazungu na foreigners kwenye hiyo bodi?

Sasa ukija kwenye menejimenti yao utashangaa zaidi kuona kuwa mtanzania ni mmoja tuu (Deodatus Mwanyika) na kazi yake ni hiyo propaganda aka PR. Hivi mnataka kutuambia kuwa hakuna watanzania waliosoma na wenye uwezo wa kufanya hizi kazi wanazofanya hawa wazungu?

mwanyika-2017.jpg

DEODATUS MWANYIKA

Menejimenti hii hapa:

Management Team

Huko kwenye migodi yao sijajua nafasi wanazo nani lakini wana JF mkae mkijua kuwa hili tatizo sio ACACIA MINING pekeee bali ni makampuni mengi makubwa ya nje yanayo operate Tanzania.

Sasa ngoja ninny kwenye makampuni ya oil and gas ili mpate kuona tulips kama nchi. Yaaani kazi za kufanywa na wa Tanzania tena ambao ni wana experience, capable, competent na wana elimu zinafanywa na wageni na vibali vinatoka.

Kuna umuhim sana tukawa na sheria ya uweszeshaji wazawa au local content ama sivyo hali itazidi kuwa mbaya zaidi ya tuliyonayo kwa sasa.

Nikuulizeni mfano tuu wa huyu Peter Galeta ambaye cheo chake ni HEAD OF PEOPLE hapo ACACIA...hivi manta kutuambia kuwa hakuna mtanzania mwenye elimu, uzoefu,uwezo wa kuwa HEAD OF PEOPLE?

Tazama profile yake
peter-geleta.jpg

Peter Geleta

Hii inawezekana sana ni kuthubutu tuu. Utashangaaa haya makampuni mpaka ma secretary nao tunaletewa kutoka India, Filipino na kwingineko na wanapewa permits za kufanya kazi ambazo wapo watanzania wengi wenye uwezo wa kuzifanya

Haiwezekani mkalalamika wachina, wakenya na wahini kujazana kila mahala huku mnanyamaza wakiajiriwa kuchukua kazi za watanzania kwenye haya makampuni
 
Kampuni ya wenzio unataka wajae watz, washauri wabongo nao waanzishe zao ili wajazane huko....nyerere aliwaanzishia makampuni kibao mkayaua na hizo shule zenu sasa naona unata mjazane mkayaue...halafu muanze kutafutia PhD kwa kuandika paper kwanini yamefail.
 
Acheni unafiki na wivu na majungu, haya madini yamekuwepo hapa toka dunia iumbwe.. Kuna lolote mmefanya?
Bas hata kwenye utalii mnaibiwa, bandarini mnaibiwa
.... As hopeless as you are.... Mnafikiri nchi inaendelea bila kuwa na investors?
Mnatak paralysis ya private sector ili nchi iwe maskini zaid.... Hakun mjualo .. Majungu na hisia tu.....
I hate this habit with passion... I hate you ..su.kz.
 
Bodi yao ina mtanzania mmoja tuu anaitwa balozi Juma Mwapachu

Tazama hapa chini:

Board of Directors

Huyu naona ndio kiungo chao Tanzania na mambo ya Government relations etc. Sijajua ana shares ngapi hapo Accacia (hakuna dhambi kwa Mtz kuwa shareholder) lakini inawezekana vipi hii kampuni iwe isha operate Tanzania kwa zaidi ya miaka 2 owe imejaa wazungu na foreigners kwenye hiyo bodi?

Sasa ukija kwenye menejimenti yao utashangaa zaidi kuona kuwa mtanzania ni mmoja tuu (Deodatus Mwanyika) na kazi yake ni hiyo propaganda aka PR. Hivi mnataka kutuambia kuwa hakuna watanzania waliosoma na wenye uwezo wa kufanya hizi kazi wanazofanya hawa wazungu?

Menejimenti hii hapa:

Management Team

Huko kwenye migodi yao sijajua nafasi wanazo nani lakini wana JF mkae mkijua kuwa hili tatizo sio ACACIA MINING pekeee bali ni makampuni mengi makubwa ya nje yanayo operate Tanzania.

Sasa ngoja ninny kwenye makampuni ya oil and gas ili mpate kuona tulips kama nchi. Yaaani kazi za kufanywa na wa Tanzania tena ambao ni wana experience, capable, competent na wana elimu zinafanywa na wageni na vibali vinatoka.

Kuna umuhim sana tukawa na sheria ya uwezeshaji wazawa au local content ama sivyo hali itazidi kuwa mbaya zaidi ya tuliyonayo kwa sasa.

Hawa wazungu wakija wanweza kuwa mabosi si chini ya miezi 6 kisha waondoke ili wazawa wafanye kazi zao. Hii inawezekana sana ni kuthubutu tuu
huyo Mwapachu hana hata hisa mija ni non executive director, halafu huyu si ndio alitutupia kadi ya CCM, JPM kandamiza hapohapo hawa ndio waliokatwa mikia.
 
Bodi yao ina mtanzania mmoja tuu anaitwa balozi Juma Mwapachu

Tazama hapa chini:

Board of Directors

Huyu naona ndio kiungo chao Tanzania na mambo ya Government relations etc. Sijajua ana shares ngapi hapo Accacia (hakuna dhambi kwa Mtz kuwa shareholder) lakini inawezekana vipi hii kampuni iwe isha operate Tanzania kwa zaidi ya miaka 2 owe imejaa wazungu na foreigners kwenye hiyo bodi?

Sasa ukija kwenye menejimenti yao utashangaa zaidi kuona kuwa mtanzania ni mmoja tuu (Deodatus Mwanyika) na kazi yake ni hiyo propaganda aka PR. Hivi mnataka kutuambia kuwa hakuna watanzania waliosoma na wenye uwezo wa kufanya hizi kazi wanazofanya hawa wazungu?

Menejimenti hii hapa:

Management Team

Huko kwenye migodi yao sijajua nafasi wanazo nani lakini wana JF mkae mkijua kuwa hili tatizo sio ACACIA MINING pekeee bali ni makampuni mengi makubwa ya nje yanayo operate Tanzania.

Sasa ngoja ninny kwenye makampuni ya oil and gas ili mpate kuona tulips kama nchi. Yaaani kazi za kufanywa na wa Tanzania tena ambao ni wana experience, capable, competent na wana elimu zinafanywa na wageni na vibali vinatoka.

Kuna umuhim sana tukawa na sheria ya uwezeshaji wazawa au local content ama sivyo hali itazidi kuwa mbaya zaidi ya tuliyonayo kwa sasa.

Hawa wazungu wakija wanweza kuwa mabosi si chini ya miezi 6 kisha waondoke ili wazawa wafanye kazi zao. Hii inawezekana sana ni kuthubutu tuu
Sasa kampuni yao, wameianzisha wao kwao huko. Huyo Mwapachu wamemuweka kwa sababu kuna sharti .

Hiyo PR wameona ni strategic choice kumuweka Mtanzania mwenzetu, ikibidi hata Kiswahili aongee nasi.

Unataka kuwapangia?

Kwa nini usiseme hao Watanzania wenye uwezo wajiunge waunde kampuni yao?

Kwa nini unataka sana Watanzania wapewe kazi kwenye makampuni ambayo si yao, tena top management.

Kwa nini unawapangia watu nani wa kumuajiri? Kwani wao wanakupangia wewe?

Wewe ibane serikali ichukue kodi, iwabane wafanye social development program kusaidia jamii za karibu hapo. Iweke labor laws kuhakikisha wanaoajiriwa kutoka nje ni essential staff na top management.

Ungekuwa na point sana kama ungesema wameleta mpaka madereva wazungu sisi waafrika tumekosa hata udereva wakati sheria za kazi zinasema haitakiwi kuwa hivyo.

Lakini wewe unalalamikia top management kuwa watu wa kwao? Kampuni ya nje?

Hata sijakuelewa bado.

Tengeneza kampuni yako.

Acha kutamani za wenzako ambazo zishatengenezwa.
 
mz
Acheni unafiki na wivu na majungu, haya madini yamekuwepo hapa toka dunia iumbwe.. Kuna lolote mmefanya?
Bas hata kwenye utalii mnaibiwa, bandarini mnaibiwa
.... As hopeless as you are.... Mnafikiri nchi inaendelea bila kuwa na investors?
Mnatak paralysis ya private sector ili nchi iwe maskini zaid.... Hakun mjualo .. Majungu na hisia tu.....
I hate this habit with passion... I hate you ..su.kz.
mzee umetoa povu umepumua angalau bana.haya pumzikaa. mwafrika anapenda wazungu wenye ngozi ya nguruwe au nguruwe kuliko mwafrika mwenzake. ndo mana mwiraqw hawezi kujiita jina la kinyakyusa ila la kizungu au la kiarabu ili aonekane ame advance.

toaa na mengine yaishe ili roho yako isuuzike
 
Nakumbuka miaka miwili nyuma team ya waziri mkuu na mawaziri wengine wa kikwete walitembelea shirika la Petrol la Oman, sababu kuu ni kuona jinsi hiyo kampuni ilivyo fanikiwa kwenye suala la kuajiri wazawa. Walirudi bongo na kusahau yote. hebu tujaribu kuiga kwa wengine walio fanikiwa na huu upuuzi wote utaisha.
 
Watanzania tumeibiwa sana. Huu ni wakati wa kurekebisha makosa yetu
Wezi ni hao hao waliopo kwenye mamlaka,magu aache kulialia na auseme ukweli wote sio ukweli nusu,muhongo yupo kwenye hyo wizara miaka nenda rudi,huo uozo unaolalamikiwa kila siku haujui,wenye mamlaka ndio walioshirikiana na hao mabwanyenye wa nje kutufilisi,muongo kaingiziwa dalari laki tisa tisa yeye na mkewe kwenye acount zao za barclays 2014 mwanzoni,sasa kumbuka mwaka huo kulikuwa na mradi gani uko kwenye process
 
Back
Top Bottom