Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,221
wakuu habari zenu nahitaji nikirudi nyumbani nisome kozi moja hapo udsm kama mambo yangu yasipoenda vizuri ya kuendelea kuwa huku mg'ambo , kwa wanaofahamu naomba wanisaidie japo kujua kama inaweza kwa raia wa kawaida kusomea kozi ya "Bachelor in arts in Diplomatic and Millitary history" inayotolewa pale udsm, au mpaka uwe mjeda