Wissman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,034
- 1,319
Chanel zenyewe zinaonyesha low quality kupitiliza, sauti mbovu kuliko hasa TBC2. vipindi vyake vingi vinaendeshwa kisiasa zaidi unadhani kwa sasa ndicho wananchi wanataka? Wengi wameelewa hilo na ndio maana utaona hata hao serikali wanakimbilia kwa private media zinazoendeshwa kiushindani hasa ktk zama hizi za digital