Moneytrolly
Senior Member
- Sep 17, 2016
- 128
- 76
We unafkri kila mtu anaskiliza clouds
Ni mara nyingi sana viongozi wa ngazi ya juu nchini kuitumia clouds fn na hata Tv kutolea matamko.
Kibaya zaidi viongozi hao huenda wenyewe kutoa matamko.
Mwanzoni nilifikiri Clouds huwafuata ofisini kuwahoji. Kiukweli sijawahi sikia Makonda kaenda tbc kuhojiwa au kutolea sintofahamu iliyojitokeza.
Tunashuhudia hata Rais akiipa Kick radio hii na kuzidi kupata umaarufu zaidi ya TBC. Tuliona Rais akipiga simu clouds kuwapongeza na kutolea ufafanuzi kuhusu mshahara wake.
Juzi Rais nae anasema anatamani angehudhuria Fiesta, tamasha ambalo linaongozwa na Clouds media.
Kifo cha TBC medi kinakaribiaa.
tbc ishajifia na viongozi wanalijua hilo uwezi kua popular kupitia tbc! na radio inayoongoza na inasimamiwa na watu rahisi ni clouds so by any means clouds lazima ikamatwe na serkali na imekamatika haswa cs wananufaikaClouds ndo media inayosikilizwa zaid Tanzania....hata hvyo hyo siyo sababu ya kukimbilia pale viongozi wanakosea.... japo Mara nying clouds huwatafuta viongozi na Mara chache viongozi huenda wenyewe
Ni mara nyingi sana viongozi wa ngazi ya juu nchini kuitumia clouds fn na hata Tv kutolea matamko.
Kibaya zaidi viongozi hao huenda wenyewe kutoa matamko.
Mwanzoni nilifikiri Clouds huwafuata ofisini kuwahoji. Kiukweli sijawahi sikia Makonda kaenda tbc kuhojiwa au kutolea sintofahamu iliyojitokeza.
Tunashuhudia hata Rais akiipa Kick radio hii na kuzidi kupata umaarufu zaidi ya TBC. Tuliona Rais akipiga simu clouds kuwapongeza na kutolea ufafanuzi kuhusu mshahara wake.
Juzi Rais nae anasema anatamani angehudhuria Fiesta, tamasha ambalo linaongozwa na Clouds media.
Kifo cha TBC medi kinakaribiaa.
Hapana wameshawahoji Mara kibao tu...japo kwa maswala tu ya kawaida...hata viongozi wa CCm huenda lake kwa maswala ya nchi na sio kisiasa zaidiMe naomba kuuliza,,,
Binafsi sijawahi kuwasikia clouds radio wakiwahoji viongoz wa upinzani live kwenye radio yao au kuwaita kwenye kituo chao kwa ajili ya mahojiano na ufafanuzi
So bila shaka clouds mnamahusiano makubwa na ccm
una uhakika???Me naomba kuuliza,,,
Binafsi sijawahi kuwasikia clouds radio wakiwahoji viongoz wa upinzani live kwenye radio yao au kuwaita kwenye kituo chao kwa ajili ya mahojiano na ufafanuzi
So bila shaka clouds mnamahusiano makubwa na ccm
Together tunawakilisha hao mbwembwe tuubunifu gani bhana efm na earadio ndiyo mpango mzima kitaani kwetu.
YULE ALIYEITWA TUMBILI JUZI KATI KANYIMWA NAFASI PALEMe naomba kuuliza,,,
Binafsi sijawahi kuwasikia clouds radio wakiwahoji viongoz wa upinzani live kwenye radio yao au kuwaita kwenye kituo chao kwa ajili ya mahojiano na ufafanuzi
So bila shaka clouds mnamahusiano makubwa na ccm
Hivi Ni vituo vya wahuni Tu na visikilizwa na watu wenye hulka hizoNi mara nyingi sana viongozi wa ngazi ya juu nchini kuitumia clouds fn na hata Tv kutolea matamko.
Kibaya zaidi viongozi hao huenda wenyewe kutoa matamko.
Mwanzoni nilifikiri Clouds huwafuata ofisini kuwahoji. Kiukweli sijawahi sikia Makonda kaenda tbc kuhojiwa au kutolea sintofahamu iliyojitokeza.
Tunashuhudia hata Rais akiipa Kick radio hii na kuzidi kupata umaarufu zaidi ya TBC. Tuliona Rais akipiga simu clouds kuwapongeza na kutolea ufafanuzi kuhusu mshahara wake.
Juzi Rais nae anasema anatamani angehudhuria Fiesta, tamasha ambalo linaongozwa na Clouds media.
Kifo cha TBC medi kinakaribiaa.
KafulilaYULE ALIYEITWA TUMBILI JUZI KATI KANYIMWA NAFASI PALE