Ndiyo! Alikua na kpindi Mara ghafla kikayeyuka Hata kpind hakijulikani kiliyeyuka vipKafulila
Ndiyo! Alikua na kpindi Mara ghafla kikayeyuka Hata kpind hakijulikani kiliyeyuka vipKafulila
Duh.!Ndiyo! Alikua na kpindi Mara ghafla kikayeyuka
Not only that BT also.....Clouds na ccm n saw a na shiny moja pande tofautClouds ndo media inayosikilizwa zaid Tanzania....hata hvyo hyo siyo sababu ya kukimbilia pale viongozi wanakosea.... japo Mara nying clouds huwatafuta viongozi na Mara chache viongozi huenda wenyewe
Astaghafilulahidah! Watu bana eti radio ngono fm!! teh!
Clouds inawafuta hao wakuu wa serikali,sasa hivi ni mashindano tu.TBC kuna mkurugenzi wa biashara jiulizeni anafanya kazi gani paleKama uliangalia msimu wa fiesta, wakuu wa mikoa na wilaya walivyoichukulia fiesta kama tukio la kitaifa la kiserikali, Rais na viongozi wa kitaifa wanavyotembelea na kutoa taarifa kupitia clouds tv na redio, SIO KITU KIBAYA, ila tunaiua TBC kama shirika la utangazaji la kitaifa, ingekua vzur kama TBC ingepewa kipaumbele, kua ni chanzo cha taarifa mama na matamko ya kitaifa, inapoelekea watendaji hawatotoa taarifa TBC na kupeleka vyombo vya habari binafsi, TBC watachukua kutoka vyombo vngne vya habari....
TBC wajitathmini,
Hv hii TV bado ipo mana mm niliifuta mda tena wkt nimeomba kuifuta DSTV wakawa wagumu nkawaambia wanipe pesa yng wachkue Dish lao sina haja kuangalia TV ya Mbogamboga kila hbr za Kipropaganda tu............