Itambue thamani ya uliyenae

kwahiyo mkuu unataka unambie njia ya kuepuka hilo ni kutokuonyesha kujali, kuthamini wa kushukuru?

hapana mkuu IBRA we jiachie tuuuu cha msingi akilini ukae standby kwa litakalotokea HASI au CHANYA!!

Love is made up of both happiness and sadness!!
 
Last edited by a moderator:
hapana mkuu IBRA we jiachie tuuuu cha msingi akilini ukae standby kwa litakalotokea HASI au CHANYA!!

Love is made up of both happiness and sadness!!

Ukweli mchungu ni kwamba unaweza ukajiandaa vizuri tu kwa ajili ya HASI but siku HASI ikijidhihirisha ni unaumia kama hukujiandaa vile. Aisee maumivu hayana maandalizi at all
 
Last edited by a moderator:
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..
 
Last edited by a moderator:
Douta sio kila mtu anahitaji treatment hii..Kuna wengine kwenye mahusiano ukiwaonyesha unajali sana basi madeko,maudhi,kiburi ndo vinazidi..Bora uwapeleke kijeshi tu
 
Toka niijue JF huu n uzi w pili sasa ambao nime
usoma n kuhisi moyo unachafuka n akili inarudi nyuma sana.! Daaa! Ila WHAT GOES AROUND.......!
 

Katiba mcheki polepole warioba Lissu cc jukwaa la siasa
 
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..

hilo sio tatizo mkuu bali ni tamaa. Kumbuka Ladha ni ileile na suluhisho la Unachokifanya ni siku Ambayo mkeo atagundua na kuchukua maamuzi ya kuondoka nadhani hapo ndio utaijua thamani ya mke na hao michepuko
 
Last edited by a moderator:
Toka niijue JF huu n uzi w pili sasa ambao nime
usoma n kuhisi moyo unachafuka n akili inarudi nyuma sana.! Daaa! Ila WHAT GOES AROUND.......!

kwanini Moyo Unachafukwa? Na kwanini unarudi nyuma? Tupo hapa kuambiana tatizo na kujua ni wapi tunakosea. Hatuwezi kuiona Thamani ya tulichonacho mpaka kituponyoke, unadhani tatizo ni nini hapa?
 
ukweli ni kwamba wengi hatujali masononeko na Maumivu Ya Wenzetu. Unaweza ukapenda, ukajali na kuthamini lakini yule unayempenda Akashindwa kuonyesha thamani Yako. Unaweza Ukafanya Kila aina ya Ushawishi na wakati mwingine kujishusha lakini bado uliyenae Hatambui thamani Yako...

Unapoamua kubreak na kuondoka kwenda kutafuta atakae thamini na kuijua thamani Yako, ndipo yeye hukumbuka na kuanza kuijua Thamani yako...

Tukumbuke kitu kimoja kwamba unapoingia katika Mahusiano matarajio Yako ni Kupata Furaha, upendo wa dhati na kila kitu ambacho kinapatikana kwenye mapenzi..

Hakuna anayeingia kwenye mapenzi Huku akitegemea kuumizwa kwa Kusalitiwa na Kudharauliwa. Mapenzi ni Ugonjwa Wa Ajabu sana Ugonjwa Ambao ukikupata unaweza kuiona Dunia Yote ni Mbaya na Kila binadamu ni Adui kwako.

Ilinde na kuisimamia thamani ya Uliyenae, usimuache Akuponyoke kwa starehe ya Muda mfupi, Usikubali Thamani Aliyokupa Ikuponyoke... Ukiamua kumpenda Mtu jua ya kuwa umemchagua Yeye Katika Makumi na Mamia Ya Uliyowaona, Kwanini Ukubali tamaa Iharibu Uhusiano Wako?

JITATHIMINI
 


Umenikumbusha mbali saana my bro for real.... ibra87...

Mahukuru mungu kwa yote,
 
Last edited by a moderator:
Acha mchepuko ww je na mkeo akiwa mchepuko nn kinatokea Pepsi ni Pepsi haiwez kuwa fanta bn radha ni ileile tena mkeo ndo atakuwa mxur kuliko hao wengine hizo Pesa unazohonga mpe mkeo apendeze
 
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..

Bazazi bazazi...!
Yani haka kaugonjwa hata mimi kanakujaga sometime na kupotea....sijui nitaovercome vip?

Dada mtumish tutatatuaje haka kadesease? Heaven Sent ??????
 
Last edited by a moderator:
mkuu hilo ndilo ninalo lihitaji lakini nashangaa mtu ameamua kuondoka mwenyewe bila kulazimishwa kisha anakwambia nahitaji kurudi kwa kuwa nimegundua thamani

Mkuu kuna kitu unatakiwa kuwa nacho.jipe muda,penda maisha yako then kuwa selfish kidogo..ni kupe mfano mdogo mimi mtu aliondoka nikiwa kwenye hard time..masters inatesa,nimetoka kufiwa na uncle ambae alikuwa mshauri mkubwa kwangu then natoka kwenye msiba nafika home mzee anaumwa hatari halafu mtu anakwambia tuachane bila reason...hahahahahaha..wakati mwingine wadada wanashindwa kutambua nini wanataka kwenye mahusiano.mtu mpaka unafikir hivi ningemuacha situation kama hiyo yeye angekuwa vipi unakosa jibu.
 

Pole mkuuu....
inaumaa mnoo, akiwa anarud sijui unataman umfanyeje..
 
Douta sio kila mtu anahitaji treatment hii..Kuna wengine kwenye mahusiano ukiwaonyesha unajali sana basi madeko,maudhi,kiburi ndo vinazidi..Bora uwapeleke kijeshi tu
Daddy ujue sio kwamba unakutana na mtu tu barabarani afu unaanza kumshobokea na hizo treatment. Ni vile mnakutana na mtu, mnaclick then mnakuwa friends or couple etc.
Na mwanzoni kila mtu anakuwaga poa, mnatreatiana vizuri, all of a sudden mmoja anaanza kuchukulia poa. Unamuacha tu na pozi lake, Piga zako U - turn maisha yaendelee.

Me naonaga kazi sana kuishi kwa machale na mtu as long as sina kitu chochote cha Kunifanya nimdoubt. If I doubt you, I will just detach myself period.
Afu hii kuishi kwa kuviziana kunaweza sababisha msienjoyiane vizuri coz kila mtu kuna Vitu Vizuri anavificha. Are you thieves or what? Daddy mwanao ndo Nipo hivyo hivyo, I'm a free spirit na sijawahi "kumpoteza mtu" wala kuwish kumrudisha mtu fulani kwa sababu nilimchukulia poa. Huwa navalue every single second nayospend na mtu na nimekuwa mtu mwenye furaha always. Na hamna mtu anayeweza kunidiscourage eti nisitreat watu wengine vizuri, coz there was one ungrateful person who took me for granted akhuu. Na kwa hilo Mungu huwa ananipa watu loyal daah hadi namshangaa. Mtu akizingua unamuignore tu, then upendo unauhamishia kwa watu wanaokuvalue
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…