lakini kupenda hakupo hivyo na huwezi kusema sitapenda kwa kiwango fulani kwa kuwa unaweza kujikuta umependal mpaka umepitiliza.Chamsingi nikumpenda na kumthamini uliyenae huku ukiutambua uwepo wake na kuonyesha kila aina ya mapenzi nadhani hiyo itakusaidia
lakini kupenda hakupo hivyo na huwezi kusema sitapenda kwa kiwango fulani kwa kuwa unaweza kujikuta umependal mpaka umepitiliza.Chamsingi nikumpenda na kumthamini uliyenae huku ukiutambua uwepo wake na kuonyesha kila aina ya mapenzi nadhani hiyo itakusaidia
ni kweli kwamba Mapenzi Hayajaribiwi lakini unadhani utakaa Hivyo mpaka lini? Mapenzi ni hisia ambazo huongozwa na Moyo na Siku Zote Moyo Ukimpenda mtu hata ufanyaje lazima Utaumia tu. Wengi wetu hatujui mapenzi Yanahitaji nini? Wengi hatujui thamani Ya mapenzi ni Ipi.. Wengi tunajua ngono ndio Kitu cha mwisho cha kuongeza upendo bila kujua kuwa Ngono ndio Kitu Cha kwanza Kinacholeta Dharau na Usaliti katika Mahusiano.
Wengi wetu hatujali vitu vingine vinavyowasibu wapenzi Wetu.
Hatuijui ni ipi thamani ya umpendae katika Maisha Yako..
Kulia kutoka machozi ni Dalili Ya dhuluma Tunazofanyiwa kwenye mahusiano.
Kwanini Uifanye ngono iwe silaha Yako ya kumpata mwanaume? Kwanini ngono Iwe kigezo cha kumdharau mwanamke?
Ni ipi thamani Ya Mahusiano Yenu.. Mpaka kufikia kuvuliana nguo ni kwamba mmekubaliana Vya kutosha lakini hili haliwezi kuwa sababu Ya kukugeuza mtumwa.
Mapenzi ni Kujali, kuheshimu, kuthamini na kukubaliana na Kila Kitu. Kuacha Kupenda Sio Suluhu Ya kukimbia kutendwa bali ukitembea katika Njia Na kanuni za Mapenzi Utainjoy na kamwe hutatoka machozi tena labda liwe Chozi la Utamu au furaha miss gisenyi
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..
Kwenye huu uzi kila mtu anajali,anapenda sana,anathamini blah blah blah.........., sasa hao wanaoumiza ni akina nani? Heaven Sent hukuwahi kumuumiza mtu??