Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

ibra87

R I P
Joined
Jul 22, 2015
Posts
5,614
Reaction score
5,360
​Asalaam aliyekhum wana MMU,

Nipo hapa mbele yenu kuwakumbusha kitu kimoja muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku hasa yale ya kimahusiano.

Najua wote tunajua thamani ya mapenzi na pia tunafahamu ni jinsi gani mapenzi yanatesa, yanaumiza na wakati mwingine kuua. Wengi tunafahamu jinsi mapenzi yalivyoleta umoja, undugu na urafiki ambao haukutarajiwa katika maisha yetu lakini kutokana na huyu kuoa yule na yule kuolewa na huyu tumejikuta tukiunganishwa na jambo hilo.

Licha ya kujua thamani ya mapenzi na maumivu yake lakini tumeshindwa kuilinda thamani na kuyapuuza maamuvi yake. Tumekuwa wakosaji wakubwa sana kwa wenza wetu tulionao. Tumekuwa hatutambui thamani ya tulionao mpaka pale wanapoondoka mikononi mwetu. Tumekuwa watu tusiothamini mioyo na machozi ya wenza wetu kanakwamba sisi ni wanyama.

Kwanini umlize mwanaume aliyekupenda na kukusaidia katika maisha yako? Kwanini umsaliti mwanamke aliyekupa mwili wake na moyo wake pamoja na kukupa thamani kubwa katika maisha yake? Ipi thamani ya machozi yake kwako? Ipi thamani ya mapenzi yake kwako? Kwanini uliache penzi lako lenye furaha na kwenda kwa mtu mwingine ambaye wakati mwingine anaweza asifike hata nusu ya uliyenae?

Kumbukeni mapenzi ni hisia ambayo hukaa ndani kabisa ya moyo, hisia ambazo haziwezi kupuuzwa au kutokuthaminiwa. Hisia ambazo zinauwezo wa kukubadili jina kutoka fulani na kuwa marehemu fulani. Hisia ambazo huumiza zaidi ya kufiwa na ndugu na wakati mwingine hata wazazi wako.Mwanamke au mwanaume anapokupenda huwa amekuona wewe na kukuchagua wewe kati ya wengi ambao amewaona.

Amekuchagua wewe kwa kuamini kuwa wewe ni faraja, furaha, liwazo na kumbatio la huba. Hakukupenda ili umsaliti na kuishusha thamani yake.. Hakukupenda ili umpange foleni na kumvunjia heshima, bali amekuoa kwa kuamini wewe ndio kilakitu katika maisha yake. Kama ni hivyo kwanini usimtunzie heshima yake? Kwanini usiipiganie thamani yake? Mwanamke aliyekupenda kweli unaweza ukamuacha akalia? Mwanaume uliyempenda kweli unaweza kumuacha akilia? Ni ipi thamani ya upendo wenu? Ni ipi heshima ya mapenzi yenu?

Mpaka kitu kikutoke mikononi ndio utambue heshima na thamani yake? Kipi ambacho ni kigeni kati ya ulichonacho na unachokifuata? Nani kakwambia papuchi zinautamu tofauti? Nani amekwambia nilichonacho mimi ndicho alichonacho sumbai au kaboom? Au unadhani alichonacho Heaven Sent ni tofauti na alichonacho BADILI TABIA au Madame S

Tuondoe ujinga tuthamini tulivyonavyo sio mpaka viondoke mikononi mwetu ndio tugundue thamani zao.

Utamu wa maharage hauwezi kuwa tofauti bali ni upishi wako tu.

Muwe na usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
Binadamu wengi huwa tunatambua thamani ya kitu/mtu pale ambapo hatujakipata kabisa au tumekipata but tumekipoteza kisa tulikichukulia for granted.
I ain't perfect but TG kwa wale wachache/ vichache nilivyonavyo, navithamini and kama ni mtu basi I'll let him/her know ni kiasi namthamini kwa maneno na vitendo. Japo kuna wakati, watu wanaweza wakakuchukulia poa, but Nisikukatishe bit tamaa wala kubadilisha the person you are. Sijawahi kujuta why nilimwonesha mtu fulani kuwa namthamini, na sijawahi kutamani labda ningemtreat mtu fulani vizuri, still angekuwepo maishani mwangu. "Sometimes we don't lose people.., some people lose us". Thamini na heshimu kile ulichonacho, kuna watu wanaomba na kutamani hata wangekuwa na ulivyo navyo but ndo hawana
 
yeah huo ndio ukweli Shem hatuwezi kutambua thamani ya mtu mpaka aondoke ama kabla ya kumpata.. Na tungekuwa tunathamini na kulinda heshima ya tulionao basi nadhani tusingesikia neno usaliti
 
Binadamu wengi huwa tunatambua thamani ya kitu/mtu pale ambapo hatujakipata kabisa au tumekipata but tumekipoteza kisa tulikichukulia for granted.
I ain't perfect but TG kwa wale wachache/ vichache nilivyonavyo, navithamini and kama ni mtu basi I'll let him/her know ni kiasi namthamini kwa maneno na vitendo. Japo kuna wakati, watu wanaweza wakakuchukulia poa, but Nisikukatishe bit tamaa wala kubadilisha the person you are. Sijawahi kujuta why nilimwonesha mtu fulani kuwa namthamini, na sijawahi kutamani labda ningemtreat mtu fulani vizuri, still angekuwepo maishani mwangu. "Sometimes we don't lose people.., some people lose us". Thamini na heshimu kile ulichonacho, kuna watu wanaomba na kutamani hata wangekuwa na ulivyo navyo but ndo hawana

I didn't walk away... U let me go! Your presence is not felt anymore what would you do?? From being special one to nobody.. Infact it sucks man!!!
 
Teh nimeshtukaje
Maybe I had to let you go coz you didn't want to be kept. Can you force someone to stay if she/he doesn't want to?
 
Mahusiano yanapofikia kuzoeana, ujue thamani ya upendo inapata DOA
^^
 
Teh nimeshtukaje
Maybe I had to let you go coz you didn't want to be kept. Can you force someone to stay if she/he doesn't want to?

Thats why i said i didnt... U let me go simply because you didnt treat me kind. Wakati mwingine huitaji kuambiwa toka eti! By the way ulishtuka nini??
 
Never mind lol
If a person doesn't appreciate your presence, then let him/her apreciate your absence. you haven't lost anyone, but I lost you.. I'm the one at loss. Be grateful that u had a chance to show me what I meant to you, and for that.. you will never regret anything. God has a lot in store for you, cheer up, I wasn't worth your loyalty.
 
aisee!!
 
mmmhhh!!!
 
Letting go does not mean you stop caring, it means you stop forcing others to.....
You walk away but you are still hurt inside... Hamna namna kwa kweli!!
 
Mmh shem ile miguno ilizidi mweee. Nashukuru kama umegusika

always kila nisomapo comment Yako Huwa napata nguvu ya kuona kila kilichonitokea ni mipango ya Mungu... Daima nilikuwa nikijaribu kujishusha na Kuonyesha thamani ninayompa lakini nilionekana mjinga na bingwa wa kuomba misamaha.. Lakini now ndio ananitafuta na kuiona thamani yangu
 
Letting go does not mean you stop caring, it means you stop forcing others to.....
You walk away but you are still hurt inside... Hamna namna kwa kweli!!
You don't deserve to be hurt at all. Just learn to "release" some people out of your life. That poor soul is just for God and few loyal people God blesses us with, not for those who hurt us. Your destiny isn't tied to them anymore. Just say " it was good having you, thanks for everything" and then move out and see what life has in store for you. Sometimes we find the good in goodbye.
 
Letting go does not mean you stop caring, it means you stop forcing others to.....
You walk away but you are still hurt inside... Hamna namna kwa kweli!!
huoni kuwa utakuwa hujafanya Kitu sahihi?
 
Back
Top Bottom