Itakuwaje siku Muungano ukivunjika?

Itakuwaje siku Muungano ukivunjika?

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,443
Reaction score
5,538
Salaam wakuu,

Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika,

Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo.

Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake.

-Ulinzi na usalama wa taifa
-Mambo ya nje (diplomasia)
-Uraia
-Sarafu na benki kuu
-Usajili wa vyama vya siasa
-Elimu ya juu
-Uhamiaji
-Posta na mawasiliano
-Kodi ya mapato ya kitaifa
-Leseni za viwanda vya kimataifa
-Huduma za anga
-Mambo ya mafuta na gesi

Pamoja na kwamba Zanzibar itakuwa ni taifa huru, je imejipangaje kiuchumi pale utakapoyumba kutokana na kutegemea zaidi misaada au rasilimali kutoka Tanganyika?

Vipi kuhusu utaifa?

Naomba kufahamishwa katika hayo kwanza japo ya kuuliza ni mengi.
 
Kuna mambo sio ya muungano kama

-Mafuta na gesi
-Kodi ya mapato ya kitaifa

Ila mimi ni muumini wa muungano huu uvunjike
 
Screenshot_20250425_211513_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20250425_211600_Chrome.jpg
    Screenshot_20250425_211600_Chrome.jpg
    204.7 KB · Views: 15
Ni upumbavu kuvunja muungano wa africa kwa africa!, hili likija kujitokeza hakika tunatakiwa kutawaliwa upya mimi sioni haja yoyote ya africa sehemu popote kutengana!, Hilo ni hubiri ambalo halifai kabisa..
Kwa mtu yoyote anaweza kutengana ktk hili bara ni mpuuzi wamwisho mpk sasahivi haikutakiwa tuendelee kuishi kwenye mipaka yakikoloni Africa ni state moja tu!, nothing else hayo mengine ni mbwembwe na ujinga!.

Dini ni ujinga!.
zimekuja kuvuruga taswira ya muafrika!.

Vizazi vijavyo vitakuja kuona tulivyochelewa na watatulaumu sana!, sisi kila leo na kesho tumeendelea kuwa vijakazi kwenye nchi zetu wenyewe!, nguvu zakiuchumi bado wanazo wazungu na waarabu na viongozi wetu wapo tu wanakenua!.
kuzungumzia utengano ni kuturudisha kwenye mkutano wa Berlin huko which is nonsense!
 
Salaam wakuu,

Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika,

Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo.

Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake.

-Ulinzi na usalama wa taifa
-Mambo ya nje (diplomasia)
-Uraia
-Sarafu na benki kuu
-Usajili wa vyama vya siasa
-Elimu ya juu
-Uhamiaji
-Posta na mawasiliano
-Kodi ya mapato ya kitaifa
-Leseni za viwanda vya kimataifa
-Huduma za anga
-Mambo ya mafuta na gesi

Pamoja na kwamba Zanzibar itakuwa ni taifa huru, je imejipangaje kiuchumi pale utakapoyumba kutokana na kutegemea zaidi misaada au rasilimali kutoka Tanganyika?

Vipi kuhusu utaifa?

Naomba kufahamishwa katika hayo kwanza japo ya kuuliza ni mengi.
Shangwe uhuru mpya wa Tanganyika
 
Tanganyika itarudi na jamhuri ya zanzibar itarudi,nchi zitateua msuluhishi wa kugawanya mali kama marehemu prof umbritcht wa uswiss alivyofanya kugawanya mali,madai na madeni ya jumuiya ya afrika mashariki
 
Ni upumbavu kuvunja muungano wa africa kwa africa!, hili likija kujitokeza hakika tunatakiwa kutawaliwa upya mimi sioni haja yoyote ya africa sehemu popote kutengana!, Hilo ni hubiri ambalo halifai kabisa..
Kwa mtu yoyote anaweza kutengana ktk hili bara ni mpuuzi wamwisho mpk sasahivi haikutakiwa tuendelee kuishi kwenye mipaka yakikoloni Africa ni state moja tu!, nothing else hayo mengine ni mbwembwe na ujinga!.

Dini ni ujinga!.
zimekuja kuvuruga taswira ya muafrika!.

Vizazi vijavyo vitakuja kuona tulivyochelewa na watatulaumu sana!, sisi kila leo na kesho tumeendelea kuwa vijakazi kwenye nchi zetu wenyewe!, nguvu zakiuchumi bado wanazo wazungu na waarabu na viongozi wetu wapo tu wanakenua!.
kuzungumzia utengano ni kuturudisha kwenye mkutano wa Berlin huko which is nonsense!
Kuna maana gani ya kuwa na muungano ambao hauna tija kwa watu wake?

Muungano wenye maslahi ya watu wachache, faida yake ni nini???
 
Ni upumbavu kuvunja muungano wa africa kwa africa!, hili likija kujitokeza hakika tunatakiwa kutawaliwa upya mimi sioni haja yoyote ya africa sehemu popote kutengana!, Hilo ni hubiri ambalo halifai kabisa..
Kwa mtu yoyote anaweza kutengana ktk hili bara ni mpuuzi wamwisho mpk sasahivi haikutakiwa tuendelee kuishi kwenye mipaka yakikoloni Africa ni state moja tu!, nothing else hayo mengine ni mbwembwe na ujinga!.

Dini ni ujinga!.
zimekuja kuvuruga taswira ya muafrika!.

Vizazi vijavyo vitakuja kuona tulivyochelewa na watatulaumu sana!, sisi kila leo na kesho tumeendelea kuwa vijakazi kwenye nchi zetu wenyewe!, nguvu zakiuchumi bado wanazo wazungu na waarabu na viongozi wetu wapo tu wanakenua!.
kuzungumzia utengano ni kuturudisha kwenye mkutano wa Berlin huko which is nonsense!
Hata kabla ya mkutano wa Berlin, Africa hatukuwa Taifa moja.
Tena tulikuwa tumetengana zaidi.

Muungano ni mzuri na bora kama tuu, pande zote zinafaidika, ila kama kuna upande haufaidiki haina maana ya kuwa na Muungano.
 
Salaam wakuu,

Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika,

Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo.

Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake.

-Ulinzi na usalama wa taifa
-Mambo ya nje (diplomasia)
-Uraia
-Sarafu na benki kuu
-Usajili wa vyama vya siasa
-Elimu ya juu
-Uhamiaji
-Posta na mawasiliano
-Kodi ya mapato ya kitaifa
-Leseni za viwanda vya kimataifa
-Huduma za anga
-Mambo ya mafuta na gesi

Pamoja na kwamba Zanzibar itakuwa ni taifa huru, je imejipangaje kiuchumi pale utakapoyumba kutokana na kutegemea zaidi misaada au rasilimali kutoka Tanganyika?

Vipi kuhusu utaifa?

Naomba kufahamishwa katika hayo kwanza japo ya kuuliza ni mengi.
Tanganyika itayumba sababu itakuwa Haina Rais alipo ni Rais wa Tanzania hivyo TZ ikifa Tg itayumba!
Zenj haita yumba sababu Wana Kila KITU KUITWA Taifa.
 
What does it takes Tanganyika baada ya muungano kuvunjika kuwa na Rais wake?
 
Salaam wakuu,

Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika,

Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo.

Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake.

-Ulinzi na usalama wa taifa
-Mambo ya nje (diplomasia)
-Uraia
-Sarafu na benki kuu
-Usajili wa vyama vya siasa
-Elimu ya juu
-Uhamiaji
-Posta na mawasiliano
-Kodi ya mapato ya kitaifa
-Leseni za viwanda vya kimataifa
-Huduma za anga
-Mambo ya mafuta na gesi

Pamoja na kwamba Zanzibar itakuwa ni taifa huru, je imejipangaje kiuchumi pale utakapoyumba kutokana na kutegemea zaidi misaada au rasilimali kutoka Tanganyika?

Vipi kuhusu utaifa?

Naomba kufahamishwa katika hayo kwanza japo ya kuuliza ni mengi.
Siku Muungano ukifa kwenye maigizo au kwenye ndoto? Fafanua dogo.
 
Itakuwa poa tu kila nchi itaendelea na hamsini zake kama ilivyokuwa kabla ya Muungano
 
Salaam wakuu,

Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika,

Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo.

Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake.

-Ulinzi na usalama wa taifa
-Mambo ya nje (diplomasia)
-Uraia
-Sarafu na benki kuu
-Usajili wa vyama vya siasa
-Elimu ya juu
-Uhamiaji
-Posta na mawasiliano
-Kodi ya mapato ya kitaifa
-Leseni za viwanda vya kimataifa
-Huduma za anga
-Mambo ya mafuta na gesi

Pamoja na kwamba Zanzibar itakuwa ni taifa huru, je imejipangaje kiuchumi pale utakapoyumba kutokana na kutegemea zaidi misaada au rasilimali kutoka Tanganyika?

Vipi kuhusu utaifa?

Naomba kufahamishwa katika hayo kwanza japo ya kuuliza ni mengi.
Ilivunjika soviet bwana (linchi likubwa kama dunia) ije kuwa kukipiga teke ki pori kisicho hata na mnyama mwitu?

Siku muungano ukivunjika, ntaenda kuikojolea bahari, naimani mkojo utawafikia tu.
 
Ukivinjika kila mtu na arudi kwao ila mtihani upo kwa baresa atachagua wapi sasa bara au uko visiwani
 
Salaam wakuu,

Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika,

Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo.

Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake.

-Ulinzi na usalama wa taifa
-Mambo ya nje (diplomasia)
-Uraia
-Sarafu na benki kuu
-Usajili wa vyama vya siasa
-Elimu ya juu
-Uhamiaji
-Posta na mawasiliano
-Kodi ya mapato ya kitaifa
-Leseni za viwanda vya kimataifa
-Huduma za anga
-Mambo ya mafuta na gesi

Pamoja na kwamba Zanzibar itakuwa ni taifa huru, je imejipangaje kiuchumi pale utakapoyumba kutokana na kutegemea zaidi misaada au rasilimali kutoka Tanganyika?

Vipi kuhusu utaifa?

Naomba kufahamishwa katika hayo kwanza japo ya kuuliza ni mengi.
Haya samia hasan na majizi wenzake tutamfurusha kama mbwa jizi.
 
Back
Top Bottom