The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,682
- 1,953
Na uvunjike,
Raia walio na nafuu ya muungano ni wazanzibar
Acha wajitegemee
-Jeshi litapata kazi ya kufanya badala ya kudeal na upinzani
Mimi si muuminiwa muungano kwa namna navyowaona na kuwachukulia wazenji wanaojihisiwao ni waarabu,masharti kibao mbongo anapoenda kwao lakini wakija huku wanajisahau