itakuwaje kila dr anayefukuzwa akichukua kadi ya chadema?

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Hebu jiulize,

1. Madakatari wote waliogoma na kufukuzwa kazi wakichukua kadi za chadema?
2. Baadhi yao wkipewa majimbo kama sugu?
 
Hebu fikiria tena.
Sidhani kama madaktari waliogoma ni wana chadema
 
Hebu jiulize,

1. Madakatari wote waliogoma na kufukuzwa kazi wakichukua kadi za chadema?
2. Baadhi yao wkipewa majimbo kama sugu?

Wakiingia kwenye siasa nani afanye kazi ya kutibu?
Sidhani kama ni busara kila mtu kuwa mwanasiasa...
 
Sidhani kama wewe mwenyewe kama umefikiri vizuri kuisisha swala hili na siasa!
 
Back
Top Bottom