Itakuwa vipi Qaddafi akikimbilia Tanzania?
Atafikia kwa Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabaan anasema Gaddafi ni mtu mzuri tu kwa vile alijenga msikiti Dodoma.
Itakuwa poa, atakutana na wenzake walioua watu Arusha bado wko madarakani tunawachekea tu! :fencing:Itakuwa vipi Qaddafi akikimbilia Tanzania?
Itakuwa vipi Qaddafi akikimbilia Tanzania?
Qaddafi yupi mnayemuongelea hapa? Ni yule mwenye bar kule yombo buza au huyu wa Libya? Walibya hawezi kuja kwani ninaamini kwa dhati kabisa wananchi wa Libya hawawezi kumuondoa.that is true story
Qaddafi yupi mnayemuongelea hapa? Ni yule mwenye bar kule yombo buza au huyu wa Libya? Walibya hawezi kuja kwani ninaamini kwa dhati kabisa wananchi wa Libya hawawezi kumuondoa.that is true story
atafute nini huku? Wakati wa vita vya Tanzania na Uganda alimsapoti Idd Amini ili atuchape lakini akachemsha. Nina ushahidi wa mizinga na bunduki zilizotoka Libya kuwapiga watanzania. Kudadeki kwavile walikuwa wageni wa njia na nchi kwa ujumla wakachapya vibaya mmno. Reference Video for Tanzania and Uganda war. Akija tu nakumbushia kudadekiiiiiiiii
Majungu ndio sifa ya Watz, Sifa za kijingaAje tu nasikia ana mke hapa tz aliyewahi pia kuwa mke wa kigogo mmoja wa SMZ