Itakuwa vipi endapo ripoti ya tume no2 ikitofautiana na ile ya tume no 1?

Inaelekea hili sakata hujalifuatilia vizuri
Kwani kila tume ilipewa majukumu mawili tofauti
Tume ya kwanza ilikua inachunguza kiasi cha madini kilichopo kwenye mchanga
Tume ya pili yenyewe inachunguza athari za kiuchumi na sheria
Hivyo ripoti haziwezi kufanana
Tume ya pili ikisema tu kuwa MIKATABA inaruhusu kusafirisha mchanga kwa kiwango kile basi reports zimeshafanana
 
Najiuliza swali kama hilo juu ya taharuki itakayoikumba Tanzania pale tume namba mbili iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza mchanga itakapokuja na matokeo tofauti kabisa na Yale ya time no mbili? Rais atavhukuwa hatua gani?
Kwanza sababu ya kuunda tume mbili kuchunguza kitu kimoja ni nini??
Pia kila tume ina hadidu za rejea zinazofanana??
 
Inaelekea hili sakata hujalifuatilia vizuri
Kwani kila tume ilipewa majukumu mawili tofauti
Tume ya kwanza ilikua inachunguza kiasi cha madini kilichopo kwenye mchanga
Tume ya pili yenyewe inachunguza athari za kiuchumi na sheria
Hivyo ripoti haziwezi kufanana
Unaweza ku-determine hasara ya kiuchumi bila kuangalia kiwango cha madini kilichopotea?
 
Diversification of common interests.

Nadhani jitihada zitafanyika ili kuweka mipaka kati ya matokeo ya tume ya kwanza na tume ya pili kuepusha impact inayoweza jitokeza na pia katika kulinda status ya anko magu manaake tayari ameshafanya maamuzi.
 
Tume ya pili Wa ya kwanza hakuna iliyohuru zote zinapewa maelekezo kutoka kwa mteuaji haziwezi kuwa tofauti kama zilivyo tume zetu za uchaguzi
 
Ripoti hizi mbili zina malengo tofauti kidogo ingawaje zote mbili makinikia na madini kwa jumla migodini.
Ya kwanza imelenga zaidi kwenye makinikia na kilichomo wakati ile ya pili imejikita zaidi kwenye madini kwa jumla migodini, thamani pamoja na mikataba kati ya wawekezaji na serikali.
Mwisho wa siku ripoti mbili hizi zitatoa matokeo yaliyokusudiwa.
 
Tume ya pili lazima itofautiane na ile ya kwanza kwani hii ya pili inakuja kutuonesha athari za kiuchumi tulizozipata kwa ajili ya wizi huu wa mchana

Athari za kiuchumi lazima based na kiwango kinachosafirishwa kwenye makontena so ni lazima watachunguza viwango kwenye makontena!
Je,findings zitakuwa sawa?Vp kama zitakuwa tofauti?Huo ndio msingi wa mleta hoja!
 
Ripoti hizi mbili zina malengo tofauti kidogo ingawaje zote mbili makinikia na madini kwa jumla migodini.
Ya kwanza imelenga zaidi kwenye makinikia na kilichomo wakati ile ya pili imejikita zaidi kwenye madini kwa jumla migodini, thamani pamoja na mikataba kati ya wawekezaji na serikali.
Mwisho wa siku ripoti mbili hizi zitatoa matokeo yaliyokusudiwa.
Usipotoshe,tume ya pili iliundwa kufanya kilichofanywa na tume ya kwanza isipokuwa wao wataenda extra mile kufanya tathimini ya pesa tuliopoteza!Hili liliwekwa wazi na Rais siku ya kwanza alipounda tume!Hayo ya kwenda kuchunguza migodini sio kazi ya tume hizi,wa wanadeal na kinachosafirishwa kama makinikia!Ni hilo tu la mchanga!Ndio maana GGM hawajaguswa na hili maana wao hawana makanikia ya kusafirisha nje!
 
Najiuliza swali kama hilo juu ya taharuki itakayoikumba Tanzania pale tume namba mbili iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza mchanga itakapokuja na matokeo tofauti kabisa na Yale ya time no mbili? Rais atavhukuwa hatua gani?
In short wa kukurupuka kashafanya yake.

Siku ukiona Tbccm wanaruka hewani kwenda kuipokea report ya 2 ujue imengelea nyundo ila ukisikia kimyaaa ujue limekula kwa mzee wa kukurupuka.....!!
 
Naomba Mungu asadie na tume ya pili ije kama ya kwanza ili tujuwe ukweli kuwa kuna mtu amesain mikataba alafu anaanza kukurupuka au wawejezaji ni majizi,
Ingawa wameshapewa ushauri kutoka kwa mh. Lisu kuwa serikari ndiyo imesaini mikataba hiyo ya kuwapa wazungu madini kwa…96%
Lazima kuna mmoja ataomba poo katika hili.
 
Najiuliza swali kama hilo juu ya taharuki itakayoikumba Tanzania pale tume namba mbili iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza mchanga itakapokuja na matokeo tofauti kabisa na Yale ya time no mbili? Rais atavhukuwa hatua gani?
Ndio maana mnafeli shule.
Ripoti ya tume ya pili ni kuangalia athari za kiuchumi na kisheria baada ya sisi kupigwa kwenye mchanga,sasa hapo unauliza matokeo toufauti yapi
 
Ndio maana mnafeli shule.
Ripoti ya tume ya pili ni kuangalia athari za kiuchumi na kisheria baada ya sisi kupigwa kwenye mchanga,sasa hapo unauliza matokeo toufauti yapi

Tume ya pili imeundwa kabla ile ya kwanza haijatoa matokeo ya uchunguzi, tuambie walijuaje kama kutakuwa na athari mpaka kuunda tume ya kuchunguza athari?
 
Matokeo ya kazi ya tume ya kwanza ni "input" ya kazi ya tume ya pili. na Hadidu za rejea za hizi tume mbili hazifanani. Kwa hiyo unachofanya ni kulinganisha maembe na machungwa.
 
Back
Top Bottom