Itafsiri katuni hii ya Masoud Kipanya

Mkuu wa mkoa alikuja kuzindua madara mawili akiwa na msafara wa magari 29.tanzania inatakiwa ikombolewe kifikira
 
Majengo ya ka shule madarasa mawili hayazd mil50 lakin uzinduzi wake anakja dc na msafala wa magari yasyopungua 1bl, hapo bdo mafuta na posho ju walizopeana.. Hapo inaitwa, AIBU UTAONA WEWE
 
Msafara wa magari kwenda kuzindua madarasa mawili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…