Itafahamika tu mwisho wa picha

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Baba bora hakiingia nyumbani Watoto ufurahi,Wanamkimbilia na kumkumbatia,Wana mwambia mambo mengi ya shule waliyo fanya
Baba asie bora hakiingia nyumbani watoto wanakimbilia vyumbani kujificha,mara hataanza kuoji kwa sauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom