"It wasnt me!" - A true story!

duh kumbeee....naona wengi watajaribu hii
 
Wala usije ukajaribu kufanya hivyo. Mie ntakuanza kwanza wewe kukupa kibano ili usiseme kama SHAGGY....

ahahahhahahhahaa KATAAA MPAKA UNAKUFA!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha hii kali jamani Kaunga story inachekesha, unajua Tized umenikumbusha siku moja rafiki yangu alimkurupusha binti yake na kumuuliza kama alikua kavaa underW kumcheck akakuta hakuvaa na alipomuuliza kwanini binti akajibu alikua ameivaa hata yeye anashangaa imetokaje kumbuka hapo kavaa jinzi sasa jiulize ilitokaje. Sasa kukana ni kawaida ya binadam lkn njia aliyoitumia mama huyu sijawahi sikia kwa kweli. Ina maana mkaka mpaka sasa bado yuko kwenye nightmare haelewi elewi. Ama kweli tembea ujionee.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.................... Kaunga, yaani leo nimeianza J3 vizuri maana nilikuwa nimeamka na kisirani mbaya, mambo ya mkoloni haya, yaani ukiwaza tu viporo vya J3 unajikuta unagombana na kila mtu njaini kama usipokuwa na werevu wa hisia.... LOL
 
Last edited by a moderator:
haaahaaa walichokosea wangeuliza ni lini umekoma kunyonya titi ya mama yako!!
duuh maza kichwa...
 
alaaaa! Huyo mama ana akili sana aisee kaokoa ndoa ya mwanae
 

cha maana cjakiona
 
Kwaaaaaaaaaa
duh hii kali kwa kweli!
Wanyamwezi mnatisha
 
Chezea nanii za kichina nini? Lbda iliexpire so ikayeyuka.

At least Mwanaume akikana ukimuangalia machoni utagundua tu ila mdada akikupatia, hana ata chembe ya aibu

LoL!
 

Nimefurahi kwamba atleast hii simulizi ilikuchekesha.
 
Last edited by a moderator:
Wala usije ukajaribu kufanya hivyo. Mie ntakuanza kwanza wewe kukupa kibano ili usiseme kama SHAGGY....


Kaka some truth hazifai kukiriwa, maana zinado more harm than good. LOL
Ila ya shaggy noumer, pamoja na ushahidi wa picha, bado anachomoa.
 
Last edited by a moderator:

Mmmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…