"It wasnt me!" - A true story!

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Naileta kama nilivyosimuliwa....

Kuna mdada au mmama alifumaniwa na mumewe kwenye getto la kijana wa kitaa.
Alivyoona mumewe anahangaika na mgoni (kumdunda na kumkamata) mdada karuka dirishani na kukimbia nyumbani kwake.

Mumewe alivyorudi na kuanza kumuhoji juu ya incident, bidada karuka futi sitini na viapo juu kwamba "hakuwa yeye". Majirani na wazee wa heshima walivyokuja bado bidada kakataa katu katu.

Basi ikabidi maustadh na mashekh wahusishe, still dada kakana. Ikaamuliwa dada alishwe yamini, ikapangwa hiyo issue iwe kesho yake.

Bidada chipi ikambana, ikabidi amsimulie mama yake. Mama yake akamwambia, basi kesho asubuhi mapema uje. Kweli, alfajiri bidada huyo kaamkia kwa mama; kufika mama anamtolea matitii anyonye. Binti akashangaa na kusita. Mama kasisitiza mdada anyonye, alivyonyonya akamwambia "ukienda nyumbani apa tangia uache kunyonya titii la mama yako hujawahi kuzini".

Kweli, walivyomsomea sijui albadiri mdada akaapa na hakuna lililomdhuru. Matokeo yake, mume akaanza kudoubt hadi macho yake mwenyewe.

NB: si lengo langu kuhamasisha cheating, lkn nkmeiadmire tu akili ya mama yake mdada mzinzi.
 
Duuu hiyo kali, Kaunga inaonekana huyo mama yake naye pia alikuwa "yumo" sana kwenye mambo hayo!!!!
 
Last edited by a moderator:
such a creative solution for such a common problem :smile-big:
 
Hahhaaaaaa, Mama ni noma huyo.

Mhutubu mmoja amewahi kuniambia, ''mdogo wangu ukimfumania mkeo, usikubali kujidai umemuona umuulize baadae, lazima atakukana, Penginge ukimshikia apo atakubali hata hivyo ukiwa kwa mbali atasema alikuwa analazimishwa kitu asichokitaka na nguo zimemtoka tu kwenye hizo puzukushani''

Chezea wadada nini!
 
Umeniabisha sana Kaunga leo.

Nimecheka mbele za watu hadi mate yakaruka nje, I hate this!
 
Duh hiyo majanga kabisa Kaunga na kweli hapo hata mama nina wasi wasi nae ni mmoja wa watalaam
 
Last edited by a moderator:

damn this is cooked story khaaa...
 
the world is under satan.
hii ni balaaa,piga hata afe hasemi mtu.
 
mbavu nzangu..................!!wadada mnayaweza haya kwa kukana tu,hamjambo ,mko fiti
 
like mother, like daughter.....wizi mtupu
 
Umeniabisha sana Kaunga leo.

Nimecheka mbele za watu hadi mate yakaruka nje, I hate this!

Hahahah, mwenyeww kidogo niangukie kumayi kwa kucheka wakati nasimuliwa maana tulikuwa kwenye boat la wazi, halafu msimuliaji ni mmama mtu mzima sana mwenye lafudhi ya kizanzibari.
 
the world is under satan.
hii ni balaaa,piga hata afe hasemi mtu.

Indeed the world is under the devil.
Umenikumbusha mahubiri ya last sunday, kwamba unapotaka kutenda dhambi fulani, say kuzini, mara karibu na zote huambatana na dhambi nyingine iwe kutamani, kuongopa na sometimes hata kuua, the same applies ukitaka kuiba lazima utamani kwanza, lakini waweza kuua pia in the process.
 
Asante dada Kaunga yani wala mi simuwazi huyo mdada, hapo kamanda ni mama mzazi.

Dah! Mihasira yote ya kuishiwa mwisho wa mwezi imepungua kwa kweli!!!!
 
The world is not fair! Hata kama ingelikuwa ni mimi, siwezi kukubali, kwani kufanya hivyo ni sawa na kujitia kitanzi mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…