Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 299
Heshima Mbele!
Kuna vijana ambao walikuwa wanafanya selection ya vyuo vikuu na kuhitaji msaada kutoka kwangu kuhusu utafauti wa IT na Computer Science interms of content and which is more preferable in the market place.
Binafsi nimesoma shahada ya Computer Science thus the best answer kwa mtazamo wangu ni Computer Science but sipendi kuwa mislead na kunikumbuka vibaya. So, i present kwenu ili kupata maoni yetu na kuja na the best answer.