Ok PL ndio nilikuwa nataka tuchambue hivyo inagawa ni nadhani wote tunafahamu ndio lengo hasa putting our use case in more detail tundoe ambiguities . Bcs i can kuna vi complication hapa .tuseme sasa huyo mtu atapesa macho kuona hiyo gerage au inadidi tuwe na
category fulani ya vitu muhimu amabvyo.
mfano mimi ni user nataka kujua gereji au fundi wa gari au IT aliye karibu na bunju..
Nainngia kwenye website yetu hii wht will i do to get a list of garege names names
- Will i oruse need to browse the whole database
- Will there be categories of some field for user to chose from to minimise his search option
- If there will be some categories wich sould be major categery kumuwezesha user kupata infor anayotaka?
moja ya kazi ya use case pia ni kubrain storm
user inteface ndio maaana nakuja namaswali haya ya kizushi. smetime wee need to assume client or end user role.
.So far
- Tumendika Siple plan amabayo ndio kama inatuguide na Inafanywa changes acccorindly project inavyokwenda
- Kwenye requiment tume fanya USe case wich i think is sufficient.
Je sould we be concened with specifying minimal
non functional requiment. Kama
- security. This should not be an issues bcs system yetu haina haina critical data . Just simple security protocol and implimentation ziatumika where neccessary
- Acccesibility Mobility/Scalability. Though hii prje itakuwa bomba zaidi kama hii system itaweza kupatikana hta kwenye mobilen sijui mnasemaje tukiliweka hili kwenye Phsase 2. Imean baada ya proje kwisha tutacheki ni mabadiliko na nyongeza gani tunahitaji
- Availability- harware resouces zitakazo host system yetu ziko outside scope yetu na control yetu . So even some of functional requiment zinaweza kuwa affected. sometime