Mkuu hii kitu ipo online tayari. Bofya kiungo hiki
Tanzania yellow page. Ukifungua utakuta kitu kama hii ambayo umeshauri tufanye.
Labda cha kufanya, watu wapitie hiyo TYP, na waangalie kinacho kosekana kwenye hiyo website, kisha waje na wazo nini cha kufanya kilicho bora zaidi ya hiyo TYP.
Vile vile nisiiwakatishe watu tamaa, nilicho kiona kinakosekana uko, ni sekta za kielimu, sekta za afya, kwa maana ya mahospitali na zahanati kwa ufupi kuna lack of information, ambazo sisi kama tutafanikiwa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.
Vile vile kuna hii website inatwa:
Search Engine East Africa - Tafuta.net
na nyingine hii
Search Tanzania | A Search Engine dedicated to Tanzania!
na
Tanzania Online Gateway - a gateway to information on development issues in Tanzania
Kwa ufupi mnaweza kupitia hapa:
Tanzania search engines: Tanzania tovuti hii imekusanya website zinazo endana na hii ambayo wewe umeshauri.
Mimi nashauri jina la project liwe: Tanzania Search Engine, jina la website liwe:
http://www.Tanzsearch.com or .net or .org or .co.tz
Humo tutakusanya full address, location, na picha ya jengo husika.
Kwa mfano mtu akiwa anaitafuta hospitali ya Muhimbii, basi aone vitu hivi vifuatavyo:
Picha au (na) nembo ya Muhimbili hospital
Name:
MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL,
Address:
P.O. Box 65000,
DAR ES SALAAM, TANZANIA.
Contacts: Telephone: +255(22) 2151599
Telephone: +255(22) 2151369
Telephone: +255(22) 2150534
Fax: +255(22) 2150534
EMail: info@mnh.or.tz
Location:
Upanga