mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,960
- 2,464
mimi nawatakia kila lakheri wakuu, tunahitaji watu creative yaani waliosoma nakuelewa na sio kukariri. ninachofahamu IT ni ushindani na ubunifu mwingi, hinyo hata kama kuna project kama hiyo basi mnahitaji kuichallenge ili kupata ktu beta na kuweza kupiga hatua zaidi. mfano hao yellow page wamelala sana kwa sababu wamekosa mshindani wa kweli anayefanana na wao, so nyinyi mkiwachallenge kwa kubuni project inayofanana na yao pia na wao wataamka hinyo technologia itakuwa. mi niko nyuma yenu wakuu japo sina mchango mkubwa kwa hilo.