fungua php.ini ambayo inakua c:/php
halafu nenda sehemu imeandikwa "display_errors=off" eka on.
Halafu seti error gani wataka kudisplay, hapa eka hivi:
error_reporting = E_ALL & E_STRICT
326 /**
327 * Gets the data for a field and save it in the database
328 * @param SPEntry $entry
329 * @return bool
330 */
331 public function saveData( &$entry, $request = 'POST' )
332 {
333 if( !( $this->enabled ) ) {
334 return false;
335 }
336 $data = $this->fetchData( $this->multi ? SPRequest::arr( $this->nid, array(), $request ) : SPRequest::word( $this->nid, null, $request ) );
337 $cdata = $this->verify( $entry, $request, $data );
338
339 $time = SPRequest::now();
340 $IP = SPRequest::ip( 'REMOTE_ADDR', 0, 'SERVER' );
341 $uid = Sobi::My( 'id' );
Jamani sasa mpaka now sijajua tumeamua vipi? tunasubiri michango ya mawazo mipya ama mjadala ndio unafungwa na ideas zilizopo ndio zianze kufanyiwa kazi ama bado tusubiri mawazo ama? maana sielewi elewi.
kaka lile neno Powered by Sigsiu.NET naona bado lipo?
@mtazamaji kaka hapo juu naona unatumia array ambayo index yako hujaidefine bado...
class SPField_Select extends SPFieldType implements SPFieldInterface
{
Yah interface design specifically ya ya home pageinterface design au vitu gani viwemo humo? au vyote?
Ujumbe nimeuona na nitaufanyi kazi kaka, kisha msione kimya laptop yangu nimeiformat so nadownload software zangu upya kisha nikiwa ready nitajumuika
Vipi mkuu umefanikiwa kupandisha ile kitu?Yah interface design specifically ya ya home page
Powa kamanda taratibu
Vipi mkuu umefanikiwa kupandisha ile kitu?
Again hata hii kwa hiyo ya 60s bado kuna file ziligoma. So nikaongeza tena. Wanasema kuna update wanafanya ndo maana. but it will back to normal kutrasfer file kubwa hata by default 20s kufanya kazi siku si nyingi.kama ulikuwa unatumia filezilla ukiclick edit then setting . kwenye connetion bydefault timeout ilyopo ni 20 second . Jamaa kanimbia niongeze to may be 60 .
Mkuu naona tatizo sio net yako kwani hata mm kwangu kimetokea kilichotokea kwako. Baada ya kuhangaika sana nikaenda kwenye online chat yao jamaa kuwauliza wakaniambia nirekebishe some setting kwenye FTP client.
Again hata hii kwa hiyo ya 60s bado kuna file ziligoma. So nikaongeza tena. Wanasema kuna update wanafanya ndo maana. but it will back to normal kutrasfer file kubwa hata by default 20s kufanya kazi siku si nyingi.
trough hizi problem tunajifunza mapya maana tungefanya locally kwenye mashine zetu matatizo kama haya tusingeyajua.
haahhahaha xpaster nilikuwa sijacheka siku nzima . Lakini hata kama ni uzee nadhani uzee wako sio wa akili ni wa mvi tu hahahhahaha
Dah! Big up mkuu, maana afadhali wewe umechukua hatua za kuwauliza kwenye forum yao...! Mimi nilibaki kukodoa mimacho tu na kulaumu net yangu....!
Ah ah ah ah uzee huu, kazi kweli kweli, wacha nchi ishikwe na vijana.
Mkuu nimeangalia kwenye hiyo site yako sijaona, au umeweka kwenye address nyingine?Team and project followrs
leo nimekuwa najaribu kupandisha sobipro kwenye official site yaproject nimekwama. katika test site nayotumia niliweza. So hapa tunapata fundisho kuwa diiffrent webserver and webhost can make CMS zi behave tofauti.
Can any member volunteer kujaribu kuinstall extension ya Sobipro may be kuna sehemu nakosea.?
Mkuu nimeangalia kwenye hiyo site yako sijaona, au umeweka kwenye address nyingine?
Site gani umengali mkuu ?
Sawa muu ngoja nipitie uko niangalie.Pole kwa kukuchanganya but hapana sio hiyo kamanda test ya hii project nafanya hapa wanani
Hata thread ya mwanzo kabisa nimeweka ngoja nibadilishe hii signature maana inaweza kuchanganya . hako kablogweb hakahusiani na project