it sounds like kwamba our job itakuwa ni just page designing? Core part itakuwa imefanywa na joomla au sio?
okey, great.. mimi nitakuwa njee naangalia. huku naicheki kidogo kidogo Joomla. maana siijui, na kidogo siipendi..
Jamani mimi nashauri watu wametoa pendekezo tutumie joomla + sobipro sasa hapa kama kuna mapendekezo mapya kila siku hii project itakuchua ages tuwepo hewani watu watabakia kuisoma tuu, cha msingi nw kila mmoja atengeneze deomo yake kutumia joomla + sobipro kisha ajaribu kudesign main page yake kuweka baadhi ya featured directories and featured contact and featured company or hospital so tutakapomaliza kila mtu ataandika link yake so itakayokua imekaa bomba ndio aideas zote tutazichanganya kwenye hio moja. lakini mkitaka mseme maswala ya core hapa itachukua miaka. km tutataka kudesign mambo ya core hayo yatakuja baadae.
Mkuu malengo ya hii kitu among the thing ni kujifunza. But tuko serious sana.lakini sio kwa pace unayotaka. So mapendekezo mapya yanaruhusiwe na yanajadilike. Hata wewe ulikuja na mapendekezo mapya tukayajadili. X paster anaweza kuona kitu kipya akaja kupendekeza. So tusijifunge sana kama vile tuna real customer anasubiri product.
Haya ni maoni tu
BTN
@issam
Alafu mkuu mkuu utaweza kushiriki vizuri huku na kule kwenye project yako nyingine. usije ukagawa efficiency yako huku na huku ukapata ubora nusu nusu kila sehemu mbili badala ya ubora kamili sehemu moja
Msitumie hizo CMS wazee, kwa vile ni learning project fanyeni from scratch na PHP/ASP whatever au tumieni Framework tu Cake/CodeIgniter whatever.
Mkuu malengo ya hii kitu among the thing ni kujifunza. But tuko serious sana.lakini sio kwa pace unayotaka. So mapendekezo mapya yanaruhusiwe na yanajadilike. Hata wewe ulikuja na mapendekezo mapya tukayajadili. X paster anaweza kuona kitu kipya akaja kupendekeza. So tusijifunge sana kama vile tuna real customer anasubiri product.
Haya ni maoni tu
BTN
@issam
Alafu mkuu mkuu utaweza kushiriki vizuri huku na kule kwenye project yako nyingine. usije ukagawa efficiency yako huku na huku ukapata ubora nusu nusu kila sehemu mbili badala ya ubora kamili sehemu moja
Mimi naona 2kitumia hizo CMS tunakuwa limited kuzincintrol source code na jinsi gani 2nataka sisi zifanye kazi hasa.
Kama nakumbuka mtazamaji ulikua unasoma java, basi php pia inaruhusu OOP. Na pia tukitumia framework katika hizo ziliotajwa na Kang. Au zend framework tutatengeze project in short time.
Muhimu tuwe flexible "code". Uenekano si tunae X-paster atapitia kila siku design.
CORE + OUTER DESIGN = APP
au?