View attachment 25284
Nimejaribu Kuandika simple code website katika simple html na css script (Tanzania Online Directory).
Kuna page Tatu ni: (FAQ Na Feedback ni link inayokupeleka Hapa hapa JF)
- Home
- Register/Sajili
- Contact US/Wasiliana Nasi
- FAQ
- Your Feedback/Maoni Yako
Mkuu usinilaumu kwa kutoshiriki sana tangia mwanzo, ni majukumu ya kutafuta ilmu ndio yalikuwa yamenitinga...! tutakuwa pamoja mkuu, ila hiyo kitu mimi niliifanya haraka haraka, ndio ukaona ipo hivyo, najuwa kuna vitu ambavyo si vya lazima na haswa kwenye form ya usajili. Nilitaka kutumia color code zenye kubadili sura kwenye ukurasa wa Home kwa sababu sijajuwa haswa color body ni ipi... Hata hiyo yako si mbaya kuna jambo ambalo nimelifikiria kama tutaweza kuandika code ambazo mtumiaji akichaguwa mkoa anaoishi basi automatically inamletea wilaya zinazo husika na ule mkoa...!X paster Kuna vitu nimejifunza kutoka kwako. Hope ungeshiriki kimakmilifu toka mwanzo mbona tungekuwa mbali.
But unaonaje twende taratibu. hapa naona umeweka vitu vingi ila vitasaidia uko mbeleni. Sasa Ile Login form kwanza tuachane nayo.Huku kwenye home page, FAQ tutakuja pia mbele ya safri naona una vitu vizuri
kwa sasa tudili na registration form tu kwanza . tuiboreshe na tukubaliane ikaeje iwe na vitu gani? tututmie standard color code gani? etc
kwa wiki kama mbili hivi tujaribu kutengenza Usable, Accesible na well designed resgitration form.
Mimi nimetengeza fomu hii hapa kwenye hii web ya majaribio Sajili
Na wakati tunajaribu kurekebisha hizi fomu tuwe tunajiuliza databbase itayobeka hizo dataa kwenye fomu itwakuwa desgined vipi.
Sijui unaonaje?
Mkuu usinilaumu kwa kutoshiriki sana tangia mwanzo, ni majukumu ya kutafuta ilmu ndio yalikuwa yamenitinga...! tutakuwa pamoja mkuu, ila hiyo kitu mimi niliifanya haraka haraka, ndio ukaona ipo hivyo, najuwa kuna vitu ambavyo si vya lazima na haswa kwenye form ya usajili. Nilitaka kutumia color code zenye kubadili sura kwenye ukurasa wa Home kwa sababu sijajuwa haswa color body ni ipi... Hata hiyo yako si mbaya kuna jambo ambalo nimelifikiria kama tutaweza kuandika code ambazo mtumiaji akichaguwa mkoa anaoishi basi automatically inamletea wilaya zinazo husika na ule mkoa...!
Hawa jamaa wa Wufoo sijawahi kuwatumia kabla, ila form si mbaya, japo inaitaji mabadiliko madogo sana, nadhani tukichanganya format nilio tumia na yako tunaweza kupata standard form ilio nzuri.
Vile vile kuna kitu nimekifikiria, nadhani tukitafuta online tunaweza kupata tamplate nzuri yenye kuhusiana na mambo ya directory, ambayo itakuwa professional zaidi...!
Mkuu Mtazamaji, mimi nimekuwa mtazamaji wa project hi iki-unfold. Nimeipenda na ninafurahishwa na juhudi zinazoendelea.
a) herufi 'zxq' kwenye address zinasimama kumaanisha nini?
b) design ya web ni nzuri ila inakabiliwa na 'tatizo' usahihi wa spelling za maneno mengi, hali ni hiyo hiyo katika ile fomu pia. Naomba upitie tena taratibu (naweza kusaidia kuanisha maeneo yenye shida, ukihitaji nifanye hivyo)
c) lugha itayotumika kwenye portal hii itakuwa ipi? monolingual or bi-lingual?
anyway kazi nzuri, kudos!
Gurta said:phpformbuilder
kang said:Ningewashauri kwenda na framework kama CakePHP, CodeIgniter etc hizi zinakuja na functions zinazosaidia kwenye common functionality kama Login, Registration, Session Management,File handling,Email, DB etc.
bwax said:Drupal is the best tool/CMS that you can use to develop secure login page. But at the end of the day kuna mambo mengine ya muhimu ya kuangalia kuhusiana na security mbali na login or registration page.
Mkuu kila kitu kinawezekana, ni ku sort out nini tunataka kiwepo na kuondoa kile ambacho hatukiitaji.Hi member na wadau
Ushauri wenu
Hii form Personal,and Organisation Contact Registration ina miss vitu gani na field gani kwa ajili ya watu na makampuni kusajili data zao online nimetengeza kwa kutumia tool ya machform.
Kwa sasa ni mtu yeto kuingiza hata za majaribio kwenye hii form ( Si lazima ziwe sahihi) kwa ajili ya kutest na kutoa feedbak nini na wapi kuna tatizo
To: Xpaster. na wachangiaji
Je tunaweza kupunguza makundi ya aina za kampuni au fani tulizonazo Tanzania.? Katika form yako ya kwanza nimeona kuna business/ profesion type nyingi sana. Kwa mazingira ya tanznaa nadhani tutaziunganisha nyingine. Sijui unaonaje hilo
This week nitajaribu tool mbali mbali nyingine walizoshauri wadau
Ideally host that doesn't push adverts on your site
check these guys out
Free Web Hosting with PHP, MySQL and cPanel, No Ads
Freeweb7.com - Professional Free Web Hosting
Free Hosting - Free Web Hosting - Free PHP Hosting - Free cPanel hosting - 000Free.com!
Free Web Hosting with PHP and MySQL Support. No Ads.
Best Free Web Hosting and Webspace for Your Website by AwardSpace.com
Free Website Hosting | MySQL, php, FTP & Domain Name Registration seems to have best options (subdomains.. u can use these as versioning area where different ideas can be explored. The members can each have a working site...
Some items you may need to consider.
Do you need access/to run CGI scripts, Perl? Some hosting sites will not have this available for the free sites.
You will not be creating your desired domain name. One will be generated for you or you may create one using the free domain name tags i.e. .CC but since this is for learning, don't think is a big deal.
I know the plan is to go for PHP5 and MySQL, but maybe other people may have experience in other platforms ASP.NET and the like, hence could seek out free hosts for those platforms as needed.
Mkuu kila kitu kinawezekana, ni ku sort out nini tunataka kiwepo na kuondoa kile ambacho hatukiitaji.
Sasa mkuu tuchague host webserver tutakeyemtumia kwa majaribio katika pita pita zangu pamoja na kuzingatia mapendekezo aliyotoa kontirwak na wengine amabyo niliyatumia kutafuta na kupata taarifa zaidi na reviews za watu .
Naona tuchague katika hizi free web server site tatu zinaweza kufaa kwa kufanyia majribio
- Free Web Hosting with cPanel, PHP, and no Ads
- http:www.byethost31.com/
- Free Web Hosting, Free Templates, Free Tutorials and More - Zymic
Sasa kama wewe huna pendkezo zaidi jaribu kupitia hao alafu uchague yupi anafaa na kisha ufungue account .
Mkuu nimepitia hizi free web hosting, nimeona labda tujaribu kati ya hawa wawili, Free Web Hosting - Zymic au Freeweb7.comVipi mkuu bado unafanya evaluation. au umepata list ya webserver provider wengine zaidi?
Mkuu nimepitia hizi free web hosting, nimeona labda tujaribu kati ya hawa wawili, Free Web Hosting - Zymic au Freeweb7.com