pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,001
- 4,324
Mchina anakuja kwa kasi na
YUTONG, ZHONSHEN, HOWO,SINOTRUCK
YUTONG, ZHONSHEN, HOWO,SINOTRUCK
Sio ya Sweden ni SCANDINAVIA Countries.Scania ya Sweden ipo chini ya Vw...Vw wanazo truck zao ila sio Scania umechanganya vitu tuu hapo...
DAF ni ya muingereza. Ni badala ya Leyland ndo zikaja hizi. Ni sawa na Stralis ambayo ni mbadala wa FIATDAF nafikiri ni ya Uholanzi kama sikosei!
HOWO haifai hasa ile seat ya ya pembeniMchina anakuja kwa kasi na
YUTONG, ZHONSHEN, HOWO,SINOTRUCK


barabara za bongo ukipiga misafara kama kumi hivi nenda kacheki kama uti wa mgongo upo salamaKutengenezwa sio tatizo, ishu ni mmiliki. Kwa mfano Blackberry nilikuwa najua ni simu ya kimarekani na inayengenezwa huko kumbe zinatengenezwa CanadaOk asante kwa kusasahisha, lkin zinatengenezwa Uholanzi angalau hilo nina uhakika nalo!
Kutengenezwa sio tatizo, ishu ni mmiliki. Kwa mfano Blackberry nilikuwa najua ni simu ya kimarekani na inayengenezwa huko kumbe zinatengenezwa Canada
umeelewa ulichoandika hapo?Sio ya Sweden ni SCANDINAVIA Countries.
Mkuu una jua Scandinavian countries ina undwa na mataifa yapi?Sio ya Sweden ni SCANDINAVIA Countries.
Volvo inahitaji barabara nzurimkuu mbona kibongo bongo haya ma Volvo hayapo sana sokoni, huku naon tumekua addicted na Scania, nipe siri.
ukiziendesha kwa umbali wa safari ndefu kiuno kinauma hatari gari zao azina spiring kwny viti zile spiring za kufanya kiti kinesenese kama kwny scania,iveco,volvo ili usiumie kwenye rafu road ikidunda imedunda iyo kwany bans unaumiaje....!!!Mchina anakuja kwa kasi na
YUTONG, ZHONSHEN, HOWO,SINOTRUCK
Hii kitu ipo Kwenye HOWO hasa, gari za hovyo sana zile.ukiziendesha kwa umbali wa safari ndefu kiuno kinauma hatari gari zao azina spiring kwny viti zile spiring za kufanya kiti kinesenese kama kwny scania,iveco,volvo ili usiumie kwenyemaponde ikidunda imedunda iyo kwany bans unaumiaje....!!!
zile gari sio kabisa...Hii kitu ipo Kwenye HOWO hasa, gari za hovyo sana zile.