Jendahyeka 01
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 212
- 166
Habar zenu wakuu naomba wasomi wa certificate ya IT kwa open university kuanzia 2016 hadi batch hii ya 2018 tukutane hapa tuangalie namna ya kusaidiana kimasomo
Natanguliza shukran....
Natanguliza shukran....