Isuzu Freelander ni gari nzuri au magumashi

Freelander ni mini SVU ya Land rover,hakuna Isuzu Freelander ila wao km ni Wagon ni Bighorn au Trouper ambapo kwasasa hazipo new model ila wana Isuzu Mu-X zina fanana na Mitsubishi Shogun lkn Tz naona hazina wapenzi napia bei juu sana,ile zile old model km Bighorn ni nzuri na ngumu sana ila ni shapeless na bei poa ila parts kdg zina zingua
 
Chukua hii
IMG-20210623-WA0007.jpg
IMG-20210623-WA0017.jpg
IMG-20210623-WA0002.jpg
 
POA nimejifunza
Lkn tusi kukatishe tamaa labda uli maanisha Isuzu hii Trouper/Big horne,hii gari kdg halina mvuto lkn ni ngumu sanaaa alafu bei chee na spear zake ni genuine tu lkn used zipo, ila km mzee wa matanuzi hazipo ktk game km Suzuki Grand Escudo lkn hii pia ni jiwe zaidi,Gari za flan sio mbaya japo sio za kijidai
70010025383021042000200.jpg
Auto-Vehicle-Urun-Resim_16-04-2019-18776-800X600.jpg
 
Habari wakuu, Nina mpango nitafute motokaa na mimi nitembee na uchawi wa mzungu. Ndoto niliyonayo ni kununua Mistubish Freelander naombeni ushauri wazee kama ni gari nzuri au ni kipengele.
View attachment 1830013
Mkuu unaonekana wewe ni mgeni wa magari. Ni hivi, hakuna kinachoitwa Isuzu au mistubishi freelander. Wala hakuna gari linaloitwa mistubishi. Lililoko ni MITSUBISHI.
Sasa kwenye title umesema Isuzu halafu kwenye yaliyomo ukaleta Mitsubishi uloliita mistubishi. Sijui Sasa unataka nini ila nahisi unachotaka ni Mitsubishi Outlander. Hivyo unapodadisi waambie wajuzi unatafuta Mitsubishi outlander.
Fahamu machache kuhusu outlanders. Outlanders haziko nyingi sana hivyo tegemea uhaba yaa spare parts hapa mjini labda uwe unapanga kununua outlander mpya kabisa. Hivyo jiandae na hilo mkuu.
 
Yaani umekosa magari ya maana kama vile Kluger,Vanguard,RAV4,Subaru forester,Honda CR-V,Nissan X-trail,Suzuki Escudo,harrier na kadhalika hadi ununue Isuzu?
Umetumia kanuni gani kusema kluger, vanguard sijui RAV4 ndio ya maana? Kwanini usiorodheshe bmw X7, Mercedes Benz GLS, RR ghost au Bentley. Mwenzio anataka Mitsubishi outlander. Hilo ndo la maana kwake
 
Back
Top Bottom