ISUZU BIG HORN: Ushauri

Huntsman

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
633
1,000
ISUZU BIGHORN inanipa faraja, haina mawazo kabisa, haijanisumbua zaid ya service za kawaida kwa mafundi wetu chini ya mwembe pale Mwenge nyuma ya Tamal Hotel.
Uliifikisha TZ kwa Bei gani mkuu? Na mafuta inakulaje?
 

joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
11,728
2,000
Niliondoka Dar saa 1 usiku kupitia bagamoyo nimefika Arusha saa 5 usiku huo huo. Mashine inapaa
 

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,173
2,000
Huu uzi huwa naufatilia sana tangu jamaa alipoanza kutafuta chombo hadi feedback zake.
Siki na mie nikikamilisha kakibanda kangu nitaiongezea Corolla yangu Hiyo Big Horn. (Corolla inabakia kumbukumbu ya ujenzi maana kalikuwa kakidampa, beba sana Cement na mahitaji mengine madogo madogo ya site)
 

joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
11,728
2,000
Balozimchomvu! Tank inaingia lita 83 kwa safari ya DAR-ARUSHA mpaka nafika Kisangara tenki hubakia robo. Usiniige mm kaka maana ofisini ninapewa 500 litres kila mwez.
 

joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
11,728
2,000
Huu uzi huwa naufatilia sana tangu jamaa alipoanza kutafuta chombo hadi feedback zake.
Siki na mie nikikamilisha kakibanda kangu nitaiongezea Corolla yangu Hiyo Big Horn. (Corolla inabakia kumbukumbu ya ujenzi maana kalikuwa kakidampa, beba sana Cement na mahitaji mengine madogo madogo ya site)
Kamata NoAH mkuu
 

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,219
2,000
Kuna jirani anayo hapa ana mwaka wa nane sasa anaitumia ipo fresh kabisa na napiga route za zaidi ya 200km mara kwa mara
 

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,882
2,000
Hivi hizi kuna toleo la kuanzia 2003 kuja juu mpaka 2015 maana nagoogle sioni
 

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
352
500
hiyo ni gari ambayo ukinunua ni ngumu sana kuja kuiuza. hataki uweke spare magumashi. haitaki fundi magumashi. ni nzuri kutumia kwa mjini tuu. kama unaipeleka kijijini umenunua jini.
 

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,398
2,000
Ninayo Isuzu bighorn. 2002 model. Diesel engine 3000cc. Automatic. Ni gari nzuri sana, nimeiendesha kwa miaka 6 sasa. Inakunywa mafuta vizuri like 10-11km/ltr. Iko very stable barabarani as compared to Toyota Prado Kzj95. Ina speed sana na turbo charger inafungua haraka sana.
Na body yake iko very strong.
Kwa sasa naiuza. Na kama uko interested tuwasiliane kwa namba: 0718885512, 0787538394 or Whatsapp: 0787538394. E-mail: karibu!. ryobaus@gmail.com View attachment 398913 View attachment 398915 View attachment 398917 View attachment 398918 View attachment 398919 View attachment 398921
Mkuu hiki chombo bado unacho?
 
Top Bottom