issue za kazi ...

issue za kazi ...

survivor03

Senior Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
131
Reaction score
21
Wakuu mambo vp mishe zinaendaje ? kuna mpango wa siku hizi umeingia kuwa washkaji wanadeal na kuwatafutia watu kazi halafu mwisho wa mwezi ukidaka unampa commission yake kwa pesa mliyokubaliana wanakuwa kama style ya "Agency" fulani hivi. Mwenye kuwajua hawa waheshimiwa tujulishane wakuu, maana siku hizi kazi kwa kujuana hata ukiwa qualified vp !! Thanks
 
Ngoja waje maana hata mimi nawatafuta hawa jamaa hasa kazi za migodini
 
Back
Top Bottom