Issue ya rushwa ya ngono Vyuoni imeshika kasi sana. Hapa nimepewa Story ya Chuo cha Mipango (Dodoma). Unaambiwa huko ndio balaa

Kuliwa mate ni uamuzi wa mtu na mpenzi wake sio excuse ya kunyima mark's au kukusumbua na akiwa anapewa uchi atoe free marks huoni kuwa ni hatari ya kupata wataalamu hewa.
Dah Bora rushwa ya hela kuliko rushwa ya ngono aisee Mimi naweza tembea na sumu kabisa kwa wahuni wa hivyo inaumiza sana
Ni ujinga tu
Ni slayqueen hujafikisha cozwork unakuja kunililia nikuongeze marks naachaje kukuomba mbunye?.
 
Kuna mmoja wa chuo X anammendea mdogo wetu flani , tumeshafikia asilimia 99 za kumuweka mikononi akiwa na Ushahidi wote!

Alivyo mjinga anampa Hadi location amfuate room namba flani bila simu. Tumeagiza chip camera ya kuchomeka kwenye nguo ili tumdhalilshe! Na tutajua GPRS maana hiyo camera ina kila kitu. Huyo lecturer anataka ampeleke mbali kwahiyo Tutakuwa tunafuata GPRS hata wakienda Dodoma.

Nyie tegeni sikio.

Mtu kuwa Malaya ni uamuzi wake. Mtu ana haki ya kuishi kila anavyotaka ilimradi havunji sheria za nchi. Kuomba rushwa ya Ngono ni Kosa na kwasababu Ushahidi wake huwa mgumu sisi tutawaharibia kazi warudi kulima.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Walimu vyuoni wanajua kublackmail na wanajua kua bila yao hufaulu
 
Sio kweli. Unaweza kua slay queen na mwalimu asikutamani.
Kuna ushenzi sana vyuoni. Kuna walimu wengine kufelisha wanaume kwao ndio raha tena akisikia msichana flani anayemfuatilia anatoka na jamaa flan. Huyo jamaa atajuta
Hahahaha hio tunaita ajali kazini
 
Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!

Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!
Na huu ndio ukweli mchungu.
 
nakubaliana na wewe......kama niwakudisco muache adisco au sup muache asup kupewa nyuchi nayo ni rushwa mwisho wa siku tunaambulia watalaam vimeo...

Lakini pia tuwaase mabinti wetu waasome waache michezo vyuoni kuepuka mashetani kama hawa pia maana nao pia wanatake advantage...
Walimu wabaki kwenye ethics zao Kama mtu kasup mpe sup. Tangu lini supp itolewe kwa Ngono.

Hawa Dawa Yao ni kuwadhalilisha. We ngoja tu Dawa Yao inaiva.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tuwe wakweli pia tuache kupepesa macho...

Hawa mabinti wa vyuo ni maarufu sana mitaani kudanga na kugawa uroda hovyo hovyo...mikoa yote yenye vyuo ni maarufu kwa hawa mabinti...

tusipende saana kukimbilia wao kuonewa wakati wenyewe ndio chanzo cha yooote kwa kuwa washenziwashenzi kujiweka kwenye risk..

Nina hakika mabinti wanaojielewa wakiwa 100 kwenye chuo hakuba lecturer anaweza kufanya huo ujinga...mhanga mmoja akireport kwenye umoja wao woote wanalianzisha chuoni hapo nani atarudia tena...tatizo wachache saana ndio wanaona sawa na walio wengi ndio michezo yao ili wafaulu....

Hata huku mitaani tunaona madada wanavyojirahisisha na kutumia maumbile yao kama silaha ya kupanda vyeo, kupata kazi na kuishi vizuri...
 
wasome pia waache mchezo...... wajitahidi kupata mark ambazo huhitaji kutia huruma ili uvuke kiunzi... sasa unapata below 50 kila siku nakutiatia huruma siunataka lawama tu..

madada kwenye mavyuo wanafanya sana starehe kwenye maclub na mabaa, kunywa pombe, kutiana hovyo hovyo mitaani....tunakutana nao sana na kuruka nao sana kwa tamaa zao za kipumbavu waishi classic life mavyuoni...

Nyie madada, ridhikeni na pocket money toka kwa wazee wenu, mkomae na kitabu sio kuzurulazurula mitaani then mnaundeperfom.. pigeni kitabu, shule ni vita muraa sio lelema....

Miji yote yenye vyuo weekend maclub yanajaa hawa watoto full kunywa, na kuliwa na wazee vijana nk, kuvuta masigara, mashisha nk yaani ujingaujinga halafu mwisho wa siku unakwenda kutia huruma kwa mwalimu wako anayekuona maeneo kila siku...
fact kubwa sana.....umemaliza kila kitu
 
Walimu vyuoni wanajua kublackmail na wanajua kua bila yao hufaulu
Hamjaamua kuwakamata Hawa! Mnawapa kichwa Sana.

Vaa GPRs chip iweke ndani ya Raba yako halafu nenda nae kokote!

Andaa Jeshi lako likiwa linakufuata kwa nyuma kwa kutrace GPRS. Kuna mengine siwezi kuongea hapa maana watagundua mitego.

Kuna mmoja tumewahi kumnasa akatutoa milion 5 tusikisanue.

Kwa haya Maendeleo ya teknolojia hushindwi kuwakamata hao wajinga. Kwanza wengi wao wanatokea vijijini watatuweza wapi watoto wa mijiji.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!

Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!

Dada unakaa mkao wa tafadhali nipigie
 
Tuwe wakweli pia tuache kupepesa macho...

Hawa mabinti wa vyuo ni maarufu sana mitaani kudanga na kugawa uroda hovyo hovyo...mikoa yote yenye vyuo ni maarufu kwa hawa mabinti...

tusipende saana kukimbilia wao kuonewa wakati wenyewe ndio chanzo cha yooote kwa kuwa washenziwashenzi kujiweka kwenye risk..

Nina hakika mabinti wanaojielewa wakiwa 100 kwenye chuo hakuba lecturer anaweza kufanya huo ujinga...mhanga mmoja akireport kwenye umoja wao woote wanalianzisha chuoni hapo nani atarudia tena...tatizo wachache saana ndio wanaona sawa na walio wengi ndio michezo yao ili wafaulu....

Hata huku mitaani tunaona madada wanavyojirahisisha na kutumia maumbile yao kama silaha ya kupanda vyeo, kupata kazi na kuishi vizuri...
Hivi wewe jamaa unaelewa unachoonge kweli.

Mtu kudanga ndio hawezi kuondoa supp? Au rushwa ya Ngono ndio inaondoa supp? Mbona mnapenda kupangia maisha ya watu ?



Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Mbivu na mbichi kamati za uchunguzi ziundwe ili pendapenda, lazimalazima, tishiatishia, umungu mtu kama upo uishe, na wenye kusup kwa ukweli wataongezeka kwa uwazi na fair. External Examiners watashuhudia ukweli wote, na Departments zisimamie moderations za paper kwa uzito na maswali yazingatie levels kwa misingi ya TCU ndio kila mmoja ataelewa hawa vipepeo wanaosoma vyuo vikuu siku hizi. Maisha ya insta, tiktok, youtube. Ni jukumu na dada,kaka,shangazi,mama,baba,mjomba anaesomesha kujenga tabia ya kuwafuatilia hao vijana tabia zao. Autonomy ya vyuo kusimamia elimu ya kweli na haki ilishakufa, kilivhobaki ni utopolo wa education committees, college/school boards, na utopolo wa senates. Maexternal examiners wengi utopolo au hawataki kuwakwaza wenyeji wao hawasemi ukweli, au sio weledi wa kufuata misingi.
Mi nilishajifunza nshaomba marked tests, quiz za madogo zangu, watoto wa brother wengi wao walijibu utopolo lakini walipewa 58+ kama fair nilibaki na mshangao vyuoni kuna huruma sana zama hizi tofauti na zamani.

Walimu achaneni na mabinti mnaowafundisha kwa nini msitongoze wa fani zingind si zipo?!! Takukuru wapo kwa kazi gani, je wakuu wa idara si walezi wa hawa mabinti kulalamika kwao? Je wakuu wa skul/wakuu wa college? Directors wa undergraduate kazi yao ni nini? Kamati za gender zipo? Dean of students wanafunzi wanajua umuhimu wake kufikisha kero?

Je Mamlaka za vyuo zimewapa ufahamu wanafunzi kuhusu mahali pa kufikisha malalamiko ya aina mbalimbali, je mamlamka za chuo kati idara,skul,college, madus zinatoa maelekezo ya maonyo miiko na maadili kwa walimu vyuoni?

Kamati za maadili vyuoni zinafanya vikao na waalimu katika idara/skul/college kuwapa tahadhari,onyo, jukumu la uzazi na ulezi, ukomavu wao wa lazima kwa kuzingatia kazi yao.

Tuendelee kutafakari kwa uhuru na haki.
 
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndio balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke.

Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea, Serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa UKIMWI wakiwa wadogo.
Hao wanachukuliwa kama watu wazima mkuu, akiliwa ametaka mwenyewe......
 
Back
Top Bottom