Issue ya rushwa ya ngono Vyuoni imeshika kasi sana. Hapa nimepewa Story ya Chuo cha Mipango (Dodoma). Unaambiwa huko ndio balaa

Imagine mwalimu kakuona club unaliwa mate kizembe halafu aombe mzigo ulete mambo ya kingese? Lazma akudake tu
Kuliwa mate ni uamuzi wa mtu na mpenzi wake sio excuse ya kunyima mark's au kukusumbua na akiwa anapewa uchi atoe free marks huoni kuwa ni hatari ya kupata wataalamu hewa.
Dah Bora rushwa ya hela kuliko rushwa ya ngono aisee Mimi naweza tembea na sumu kabisa kwa wahuni wa hivyo inaumiza sana
 
Utagoma na umeagizwa cheti kwenu? Kaza udisko maana hamna mtu atakaekuelewa kuwa eti uligoma kutiwa ndio ukadisko utaonekana mzembe straight away
 
Wanakuwaga na mabifu kabisa yani lazma akuchungulishe kaburi! Unakuta unakula sup,retake ukifanya masihara unakula disco!
ni kweli kabisa Mkuu,kuna Lecture mmoja anaikubali pisi fulani mpaka kufikia analala kwa hiyo pisi,hapa napo dogo akijichanganya aikule anapewa disco😃
 
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndio balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke.

Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea, Serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa UKIMWI wakiwa wadogo.
kwani ni under 18?? tena siku hzi hivi vitoto vyenyewe ndo vitataka na kutega walimu, unakutana na mwanafunzi bar amekumbatia mtu mzima kuliko mwalimu wake
 
wasome pia waache mchezo...... wajitahidi kupata mark ambazo huhitaji kutia huruma ili uvuke kiunzi... sasa unapata below 50 kila siku nakutiatia huruma siunataka lawama tu..

madada kwenye mavyuo wanafanya sana starehe kwenye maclub na mabaa, kunywa pombe, kutiana hovyo hovyo mitaani....tunakutana nao sana na kuruka nao sana kwa tamaa zao za kipumbavu waishi classic life mavyuoni...

Nyie madada, ridhikeni na pocket money toka kwa wazee wenu, mkomae na kitabu sio kuzurulazurula mitaani then mnaundeperfom.. pigeni kitabu, shule ni vita muraa sio lelema....

Miji yote yenye vyuo weekend maclub yanajaa hawa watoto full kunywa, na kuliwa na wazee vijana nk, kuvuta masigara, mashisha nk yaani ujingaujinga halafu mwisho wa siku unakwenda kutia huruma kwa mwalimu wako anayekuona maeneo kila siku...
Wee bwana unataka wasome ili sie tukose pakugegeda ama vipi. Alafu wacheni hizo bwana...kama mwanamke mrembo na anatako asome ya nini wakati wakina mzabzab tupo tayari kumuhonga
 
Wanaume mnashadadia tu hii kitu vile hamujavaa uhalisia na kupitia hyo situations mwanamke hata kama ni malaya au slay queen huwa hapendi kuzalilishwa na kutumika kwa kitu ambacho ni haki yako hyo huwa inaumiza na chuoni malecturer huwa hawajali uwe slay queen or not majority ya wanawake ni victim wa hivo vitendo. Ona hyo clip ya huyo lecturer wa udom katoka na mda ambaya wa kawaida wala sio slay queen, na hata ukiwa unajitahidi vipi Hawa washenzi huambiana kuhusu hvo vitu.
So msitusemee wanawake, tunapitia changamoto za kutakwa kingono Hadi makazini na ukiwa mgumu unawekewa mazingira magumu ya kazi Hali inayoleta stress au depression

kuna mabinti wako serious na shule na sio wazembe wazembe wanakaza kama wanaume vile mark zao zinachezea huko 70 and up.... hiyo lecturer anaanzia wapi....

Wengi wahanga ni watu wa mzahamzaha shule na watu wa mitoko mitaani huko ndio huwa wahanga hapa...ukiwa serious na kitabu no kuchekacheka hata sisi wanaume ni waoga....nakuhakikishia hawa walio serious wako makini na wanaweza kulianzisha kwa namna yeyote ile...

Nilikuta kisa kimoja cha mdada kampuni moja, Bosi wake alimtaka na huyo bosi alikuwa foreigner kifupi alimpenda na akataka kuforce, mdada alikomaa mwanzo mwisho makesi yalifika mpaka ngazi za juu huko sijui ikawa makesi na vikao dada kakomaa hatari.....tatizo wengi wa dada zetu wanapenda unafuu sana wa maisha...hapo shida ndio inapoanzia..
 
ukifanya uchunguza rahisi mabinti ambao wapo serious na shule, sio watu wa kutoka toka kwenye mastarehe, sio machepele na watu wa matukio huwa sio wahanga wa hizi mambi na hata hao malecture huwa wanawarespect...

tatizo linaanza, lectures unakutanaye maeneo maclub umevaa vinguo vya ajabu unapiga mtungi na masela na anakuona unaingia kwenye mandinga ya wanaume wenzie unaenda kuliwa tena umeshikwa chura....halafu mwisho wa semester unakuja kutia huruma na vimarks vyako mbuzi kwanini asitengeneze mazingira ya kula mzigo... PUMBAVU SOMENI ACHENI UJINGA, SHULE NI VITA NA MAISHA SI LELEMAMA HUKU MTAANI, mje mkiwa vizuri upstairs huku watu wana elimu za kitaa ndio degree zao lazima uwe smart kichwani kupambana nao..
Kwanini umpangie mtu maisha Yake?

Kama mtu ana sup si ampe sio Mambo ya kuombana nyuchi. Mambo ya kumchomolea mtu supplementary kisa amekupa uroda Hilo bado ni kinyume na ethics za ualimu.

Kila mtu apewe anachostahili sio rushwa za Ngono.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!

Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!
Sio kweli. Unaweza kua slay queen na mwalimu asikutamani.
Kuna ushenzi sana vyuoni. Kuna walimu wengine kufelisha wanaume kwao ndio raha tena akisikia msichana flani anayemfuatilia anatoka na jamaa flan. Huyo jamaa atajuta
 
Wewe ni jinsia gani..ke/me?
Kweli mwanume timamu unatetea upumbavu na ujinga ujinga eti Rushwa ya ngono!fuxxc!
Mitoto ya kike yenyewe haijitaambui huko vyuoni!
Kazi kudanga inasahau kusoma ikifeli lawama kwa malecture et ananitaka kingono!!

Hivi hao malecture ndio wanatamaa tu ya ngono kuliko huko mtaani?
Hao mademu huko chuoni hawatom..eki nje na malecture?

TUWAHESHIMU WALIM WETU WA VYUO! SIO KUJA NA AJENDA ZA KIPUMBAVU.

hizi habari za mwanaume kusimama na kuwatetea tetea hawa viumbe zikome kabisa!
Hao ni nyoka nyoka tena nyoka lenyevichwa 7.
 
Wanaume mnashadadia tu hii kitu vile hamujavaa uhalisia na kupitia hyo situations mwanamke hata kama ni malaya au slay queen huwa hapendi kuzalilishwa na kutumika kwa kitu ambacho ni haki yako hyo huwa inaumiza na chuoni malecturer huwa hawajali uwe slay queen or not majority ya wanawake ni victim wa hivo vitendo. Ona hyo clip ya huyo lecturer wa udom katoka na mda ambaya wa kawaida wala sio slay queen, na hata ukiwa unajitahidi vipi Hawa washenzi huambiana kuhusu hvo vitu.
So msitusemee wanawake, tunapitia changamoto za kutakwa kingono Hadi makazini na ukiwa mgumu unawekewa mazingira magumu ya kazi Hali inayoleta stress au depression
Wanapendaga kuteteana hata kwenye yasiyo na maana
 
Kwanini umpangie mtu maisha Yake?

Kama mtu ana sup si ampe sio Mambo ya kuombana nyuchi. Mambo ya kumchomolea mtu supplementary kisa amekupa uroda Hilo bado ni kinyume na ethics za ualimu.

Kila mtu apewe anachostahili sio rushwa za Ngono.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

nakubaliana na wewe......kama niwakudisco muache adisco au sup muache asup kupewa nyuchi nayo ni rushwa mwisho wa siku tunaambulia watalaam vimeo...

Lakini pia tuwaase mabinti wetu waasome waache michezo vyuoni kuepuka mashetani kama hawa pia maana nao pia wanatake advantage...
 
Sio kweli. Unaweza kua slay queen na mwalimu asikutamani.
Kuna ushenzi sana vyuoni. Kuna walimu wengine kufelisha wanaume kwao ndio raha tena akisikia msichana flani anayemfuatilia anatoka na jamaa flan. Huyo jamaa atajuta
Kuna mmoja wa chuo X anammendea mdogo wetu flani , tumeshafikia asilimia 99 za kumuweka mikononi akiwa na Ushahidi wote!

Alivyo mjinga anampa Hadi location amfuate room namba flani bila simu. Tumeagiza chip camera ya kuchomeka kwenye nguo ili tumdhalilshe! Na tutajua GPRS maana hiyo camera ina kila kitu. Huyo lecturer anataka ampeleke mbali kwahiyo Tutakuwa tunafuata GPRS hata wakienda Dodoma.

Nyie tegeni sikio.

Mtu kuwa Malaya ni uamuzi wake. Mtu ana haki ya kuishi kila anavyotaka ilimradi havunji sheria za nchi. Kuomba rushwa ya Ngono ni Kosa na kwasababu Ushahidi wake huwa mgumu sisi tutawaharibia kazi warudi kulima.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume mnashadadia tu hii kitu vile hamujavaa uhalisia na kupitia hyo situations mwanamke hata kama ni malaya au slay queen huwa hapendi kuzalilishwa na kutumika kwa kitu ambacho ni haki yako hyo huwa inaumiza na chuoni malecturer huwa hawajali uwe slay queen or not majority ya wanawake ni victim wa hivo vitendo. Ona hyo clip ya huyo lecturer wa udom katoka na mda ambaya wa kawaida wala sio slay queen, na hata ukiwa unajitahidi vipi Hawa washenzi huambiana kuhusu hvo vitu.
So msitusemee wanawake, tunapitia changamoto za kutakwa kingono Hadi makazini na ukiwa mgumu unawekewa mazingira magumu ya kazi Hali inayoleta stress au depression
Uyo dada alishindwa kusoma asapue

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom