Issue ya rushwa ya ngono Vyuoni imeshika kasi sana. Hapa nimepewa Story ya Chuo cha Mipango (Dodoma). Unaambiwa huko ndio balaa

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,252
2,000
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndio balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au uta-supp na unaweza ku-supp usichomoke.

Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea, Serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa UKIMWI wakiwa wadogo.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,111
2,000
Wasome pia waache mchezo...... wajitahidi kupata mark ambazo huhitaji kutia huruma ili uvuke kiunzi... sasa unapata below 50 kila siku nakutiatia huruma siunataka lawama tu..

Madada kwenye mavyuo wanafanya sana starehe kwenye maclub na mabaa, kunywa pombe, kutiana hovyo hovyo mitaani....tunakutana nao sana na kuruka nao sana kwa tamaa zao za kipumbavu waishi classic life mavyuoni...

Nyie madada, ridhikeni na pocket money toka kwa wazee wenu, mkomae na kitabu sio kuzurulazurula mitaani then mnaundeperfom.. pigeni kitabu, shule ni vita muraa sio lelema....

Miji yote yenye vyuo weekend maclub yanajaa hawa watoto full kunywa, na kuliwa na wazee vijana nk, kuvuta masigara, mashisha nk yaani ujingaujinga halafu mwisho wa siku unakwenda kutia huruma kwa mwalimu wako anayekuona maeneo kila siku...
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,111
2,000
Naweza sema bado jamii ya kitanzania iliyoko mashuleni na mavyuoni kwa kiasi kikubwa haijajitambua na haihitaji hiyo demokrasia tunayowapa.... demokrasis kwa watu ambao hawajui maana ya demokrasia ni kuwaonea na kuwatengenezea madhara makubwa kwa hiyo demokrasia tunayowapa..
 
Yenga08

Member
Jul 7, 2019
37
150
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Siku hizi hata hao wanafunzi wenyewe wa kike hakuna kitu japo siyo wote., ndio maana unakuta binti anajirahisi tu na haoni tatizo kugongwa na mkufunzi ili afaulu., mwisho wa siku unajikuta mpaka kazi anakuja kunitoa kwa hongo ya ngono.., hii Inchi kwa sas ni ngumu sana kila mtu anaona bora liende tu.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,445
2,000
Wanawake wengi ni victim wa hii kitu, na ukiwa kichwa ngumu wanakufelisha na kusingizia mwanafunzi husomi, so inasikitisha sana, na mbaya zaidi hii rushwa huomba indirect kukwepa kukamatwa
Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!

Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,161
2,000
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Mabinti wengi wanaanzia kuwarubuni walimu wao huko mashuleni sekondari ili wapewe paper nk, tusilaumu wakufunzi tumulike tatizo limeanzia wapi
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
5,213
2,000
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Chuo cha serikali za mitaa hombolo ni issue. Ifike mahali serikali iunde chombo cha kutunga na kusahihisha mitihani ya vyuo vyote Tanzania, kama ilivyo NECTA
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,111
2,000
ukifanya uchunguza rahisi mabinti ambao wapo serious na shule, sio watu wa kutoka toka kwenye mastarehe, sio machepele na watu wa matukio huwa sio wahanga wa hizi mambi na hata hao malecture huwa wanawarespect...

tatizo linaanza, lectures unakutanaye maeneo maclub umevaa vinguo vya ajabu unapiga mtungi na masela na anakuona unaingia kwenye mandinga ya wanaume wenzie unaenda kuliwa tena umeshikwa chura....halafu mwisho wa semester unakuja kutia huruma na vimarks vyako mbuzi kwanini asitengeneze mazingira ya kula mzigo... PUMBAVU SOMENI ACHENI UJINGA, SHULE NI VITA NA MAISHA SI LELEMAMA HUKU MTAANI, mje mkiwa vizuri upstairs huku watu wana elimu za kitaa ndio degree zao lazima uwe smart kichwani kupambana nao..
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,782
2,000
Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!

Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!
Wanaume mnashadadia tu hii kitu vile hamujavaa uhalisia na kupitia hyo situations mwanamke hata kama ni malaya au slay queen huwa hapendi kuzalilishwa na kutumika kwa kitu ambacho ni haki yako hyo huwa inaumiza na chuoni malecturer huwa hawajali uwe slay queen or not majority ya wanawake ni victim wa hivo vitendo. Ona hyo clip ya huyo lecturer wa udom katoka na mda ambaya wa kawaida wala sio slay queen, na hata ukiwa unajitahidi vipi Hawa washenzi huambiana kuhusu hvo vitu.
So msitusemee wanawake, tunapitia changamoto za kutakwa kingono Hadi makazini na ukiwa mgumu unawekewa mazingira magumu ya kazi Hali inayoleta stress au depression
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom