Plagiarism, unless you acknowledge the source.Wapi Kuna CIA? Hapo
CIA’s primary mission is to collect, analyze, evaluate, and disseminate foreign intelligence to assist the President and senior US government policymakers in making decisions relating to national security.
Hivi humu kuna uchama? kwa nini wote tusi - address mambo kizalendo? Nafikiri si wote ambao wana vyama humu.kwenye hlo gazeti mbona hakuna sehemu ya CIA? alafu hiyp title ya gazeti mbona haifanani na ya kwako? kuna tatizo LA kiingereza huko chadema??
Hivi hata umeelewa hicho kichwa cha habari au umejiandikia tu?
Yaani hata Mimi nawashangaa wasomi gani wanaodai CIA shirika la kijasusi kimataifa twaweza kweli wamewakaangakama vijana wenyewe wenye elimu na matajiri ndo nyie basi mmeliwa na twaweza...
Na ukae ukijua hao wanaojiita wasomi na matajiri hawapigagi kura wanajifungiaga chumbani na kuangalia TV,endeleeni kushangilia tuu na kuwakebehi mnaowaita sio wasomi.

kwenye hlo gazeti mbona hakuna sehemu ya CIA? alafu hiyp title ya gazeti mbona haifanani na ya kwako? kuna tatizo LA kiingereza huko chadema??
maana msigwa alipohojiwa na KTN alisema " at least today he got a little bit of tea"
Mbavu zanguMchawi hawezi kukubali manyaunyau atimbe home kwake
Hahaha usinikumbushe haya mambo mkuuMchawi hawezi kukubali manyaunyau atimbe home kwake
Acha uvivu wa kufikiri, hii ishu inaweza kuwa sawa na kupanda mbegu faida baadae, hawa watu wana focus miaka mingi mbele sio biashara ya chakula kuuza leo na kujua faida yake siku hiyohiyo.Kazi Za CIA siyo Kuchunguza Ujinga kama Huo Keep in Mind!
To be Fair Serikali ya Marekani Haitatuma CIA kuja Kuchukuza Tukio la Lissu Kwani Halina Faida kwa marekani.
Hadi kunguru mkuu...wale watu hatarUpelelezi wa wanatumiaga mpaka Inzi