Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
Sio kweli, labda kuna vigezo wanangalia,, sio muonekano wa suraNigeria hawana mpinzani!
yeah, ni magiant labda hvoWanaigeria ni magiant! Waulize wadada wakibongo watakuambia
Wana mijiboro mkiubwa??Wanaigeria ni magiant! Waulize wadada wakibongo watakuambia
nimelia sanaTanzania hata top ten hayupo, wachimba chumvi wengi, ila hapo kenya wametupiga na kitu kizito
Bagoshaa 😊 hiiii sio kweli kwa kweli.Hapa hatujapigwa kweli wakuu?View attachment 2982473
Miaka mingi ningali kijana Umenikumbusha,Tall dark and handsome.
Halafu Sudanese wale melanin zimekolea unaona macho na meno tu wamejaa huko.
Mwandishi wa hiyo Tweet ni raia wa wapi?Hapa hatujapigwa kweli wakuu?View attachment 2982473
Mkuu melanin kuna saa inakubali mtu hadi ushtuke.Miaka mingi ningali kijana Umenikumbusha,
Dogo mmoja tulikutana nae u boyzin jamaa alikua BLACK yaani na baridi la kule akicheka unaona meno TU kuna watu weusi balaa
Labda in the next life, ila in this life most handsome men wanatoka TanzaniaHapa hatujapigwa kweli wakuu?View attachment 2982473
Hupati shida kutongoza. Na gharama sio kubwa. Hata mkopo unapewa na wadada wa mjiniWazee mnalilia uHANDSOME 😂🤣