Issa Michuzi na Fred Maro


Hata DJ eti alidhani atakuwa Rais, na yule mzee wa mke wa mtu nae anadhani atakuwa Rais.

Ajabu.
 
Nimeuliza swali hili na majibu niliyopata ni kuwa kuna wakati maafisa usalama taifa wanatakiwa kujulikana na hii ndiyo inayoibua watu kama Membe na inawezekana hata Michuzi (labda alikuwa undercover na sasa kaibuliwa)
 
Umeona watu wa MARA ni mabwege kuongozwa na mpiga picha?
Hawa wapiga picha wakawaida tu huku mitaani wanakipato kizuri na wanaendesha maisha seuse huyo anayefuatana na Rais!!hoja hapo ilikuwa nikujua nani mwajiriwa sio kujua kwanini nimpiga picha hapa watu wanatukana alafu ukiangalia hata kazi kama hiyo hawana,embu Watanzania tuamke nakuheshimu kazi yako au ya mwenzako sio kuipaka matobe hakuna mwenye kazi bora ila hali wote tunafanikisha mahitaji muhimu ya maisha yetu kupitia kazi kama hizo
 
Naweza nikawa mhudumu ktk hoteli au mgahawa ukaniona ninafanya kazi ya ajabu sana lakini nikawa nimtaalamu wa fani kama urubani, injinia n.k.

Hivyo tuwe makini ktk maisha yetu ya kila siku na kote tuendako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…