FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Mwajiliwa wa Ikulu ni Fred Maro, Michuzi ni kishoka, kwani hujui ukishoka sasa hivi ni ajira rasmi mpaka Ikulu?
Ikulu wakishajaa wahuni matokeo yake ndio haya muhuni yeyote yule anaweza kuleta ukishoka wake na akawa kwenye Delegation ya Rais, usitishwe tena na neno Ikulu hadhi ya Taasisi ya Urais Tanzania imeshuka sana na ndio sababu kila mwehu sasa hivi anadhani anweza kuwa Rais.
Pasco atakujuza zaidi.
Hata DJ eti alidhani atakuwa Rais, na yule mzee wa mke wa mtu nae anadhani atakuwa Rais.
Ajabu.