Viper JF-Expert Member Dec 21, 2007 3,667 1,400 Nov 29, 2012 #2 Mkuu ungeweka maelezo kwenye.hiyo.lugha ya.picha tukuelewe
BHULULU JF-Expert Member Jun 28, 2012 4,988 2,012 Nov 29, 2012 #3 Hapo ni hatari, au mtabiri amekosea? Wakati wengine watakuwa na vipindi vya jua na mvua, Israel wao ni mvua ya kichapo.
Hapo ni hatari, au mtabiri amekosea? Wakati wengine watakuwa na vipindi vya jua na mvua, Israel wao ni mvua ya kichapo.
Fugwe JF-Expert Member Aug 21, 2008 1,676 656 Nov 29, 2012 #4 Kwa nini unatuletea habari ya kutumiza vichwa kupata maana yake badala ya kutueleza???
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 Nov 29, 2012 #7 Hawa jamaa bado vita yao haijaisha na inasemekana haitokwisha mpaka kiama.
M mang'ang'a JF-Expert Member Oct 18, 2010 828 379 Nov 29, 2012 #8 Viper said: Mkuu ungeweka maelezo kwenye.hiyo.lugha ya.picha tukuelewe Click to expand... mbona inaeleweka? au kingereza hutumii?
Viper said: Mkuu ungeweka maelezo kwenye.hiyo.lugha ya.picha tukuelewe Click to expand... mbona inaeleweka? au kingereza hutumii?
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,957 93,938 Nov 29, 2012 #9 duh hayo makombora yafika ardhini!!!