Israeli imemtuma mkuu wa ujasusi kwenda Qatar

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,386
Baada ya magaidi Hamas kuwasilisha mpango ambao unamwelekeo wa kukomesha vita


Mkuu wa mosad bwana david ataongoza ujumbe wa Israeli ktk mazungumzo yanayolenga kusimamisha vita

Mtakumbuka hapo awail magaidi wa hamas walitoa shurba kibao ili kuwezeshwa kusitishwa kwa vita kisa kilichopolekea israeli kutohudhuria mazungumzo

Safari hii wamekuwa wapole

Tuombe vita visimame kwasababu magaidi yaliyobaki yalishatupa silaha na kujifanya raia wema
 
Back
Top Bottom